1978/79 Tanzania iliipiga Uganda mpaka Kampala lakini haikuua Raia. Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere!

Mwaka Ule wa Vita ya Kagera majeshi yetu yalivyoingia ndani ya Uganda lengo lilikuwa Moja tu kumsaka Nduli Idd Amin na Siyo kuua Wanawake na Watoto wa Uganda wasio na hatia

Mungu wa mbinguni awabariki sana Wanajeshi wetu

Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere

Hujui unachoandika. Kwanza wakati huo Askari hawakutumia raia kama shield, lakini pia bado vifo vilikuwepo japo si kwa idadi kubwa
 
Ni aibu kubwa sana kwa kuandika haya ukiwa kama mmoja wa watu wanaojulikana humu
Ni dhambi kudanganya
Mimi nilikuwepo na nilikuwa kijana wakati wa vita hivyo
Na nikuambie kitu hakuna vita bila mauwaji huo ni uongo
Nina maofisa walioshiriki vita na marafiki zangu pia
Wakati huo sikuwa mbali sana na Bukoba na shule yetu ilitumika kuwaweka wajeda kwa kuwa ilikuwa na facilities zote za kulala na kula


Twende kwenye hoja, waganda zaidi ya 1000 waliuwawa, waliokamatwa 600+ walibya waliuwawa na kutekwa pia na wapalistine waliuwawa wengi pia

Na sisi ndugu zetu walikufa 373 na waliotusaidia pia walikufa wengi

Umeshindwa hata kufanya utafiti kidogo au hata kuuliza wazee humu?

Mambo mengi yalifanyika ya aibu
 
Back
Top Bottom