Uganda walivamia Tanzania 1978 na Baada ya Vita kwisha tukawa tunawapa Misaada mbalimbali, Ndivyo itakavyokuwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,128
Nakumbuka 1979 baada ya kumtwanga Sawa Sawa Nduli Idd Amin hadi akakimbilia Arabuni Tanzania akawa Ndio mfadhili wa Uganda japo sisi Wenyewe tulikuwa tunakula ugali wa Yanga

Hata Marais wa awali Yusuf Like na Godfrey Binaisa zilikuwa propaganda zetu lakini Lengo halisi lilikuwa kumuweka Milton Obote jambo lililofanikiwa

Ndivyo itakavyokuwa 😂
 
Back
Top Bottom