Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,266

1577461187604.jpeg

Basement ya safe house iliyotumika kama interrogation house wakati wa utawala wa Idd Amin.
 
Mbona mnayaleta hapa leo?? Idi kishakufa, mtamfungulia mashitaka mfu? They say; The dead stay dumb!!!! Upo?? Sasa kwenda fukua majumba ya Iddi leo itatusaidia nini?? Nnani ataweza hata kutupa majina yao hao?? Tusifukue makaburiiii
 
We learn history to know the past, understand the present and plan for the better future.
Thanks but this comes at a time when our country is in turmoil of abduction and disappearance of fellow peoples. Don't yu think it can cause havoc??
 
Hawa wanazidi tu kumzushia marehwmu Iddi Amini...hilo jamaa lilikua straight saana na alikua mtu mwenye imani saana..lkn ukiona wayu wanavyo mchafua unaeza kusema Amini alikuwa ni mtu mnyama saana.
Hata vita vya kagera wanajeshi wetu walipigwa saana hadi kuchkua uamuzi wa kulipua daraja la mto kagera.lkn wanasema waganda ndio walio lipua hilo daraja..
Ukiona mtu anapakaziwa saana mambo mabaya ujue kuna kitu nyuma ya pazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hivi hizi bange za kubishana na hiatoria mnazivutia wapi.....kweli elimu muhimu sana..kwahiyo hata wanajeshi mahiri walipoenda mtoa nduli ukute haikua wa kitanzania....mitoto ya sikuhizi haijui hiatoria ndo maana inakua kama inabemendwa kussuport vya nje kuliko vya ndani
 
Back
Top Bottom