Msiri wa kingai nahisi atakuwa Sabaya maana lengo la Sabaya ilikuwa kumpoteza mbowe muda Sana kumbe asijue mungu anamderee tuYaani upande wa Jamhuri mi wajinga sana... wamefunga ushahidi bila kuonyesha pasipo mashaka yoyote kuwa "kulikuwa na njama ya kupanga matukio ya ugaidi", nilitegemea kuona Jamhuri wanamleta huyo ...
Na unajua Kuna kitu nahisi maana juhudi zooote hizo kuingiza makomando ni mbowe anatafutwa sasa napata hisia huenda sabaya amefungwa kwa maksudi ili mbowe afungwe then wakutane jela atekeleze adhima yake ya kumuua wakiwa jela Kama wafungwa baadae sabaya atolewe kwa msamaha wa rais wakati huo mbowe ni marehemu hizo ni hisia zanguYaani upande wa Jamhuri mi wajinga sana... wamefunga ushahidi bila kuonyesha pasipo mashaka yoyote kuwa "kulikuwa na njama ya kupanga matukio ya ugaidi", nilitegemea kuona Jamhuri wanamleta huyo...
Kwanini wasimuue tu hadharani mpaka wazunguke pote huko. Mimi nadhani Mbowe ametumika na serikali Kama scapegoat ya kuonesha kwamba Tanzania tunapambana na ugaidi, ili tuaminiwe na mataifa ya nje na kupewa msaada. Ilihali kosa sio ugaidi Bali ni aidha kupanga kujeruhi au kusababisha uvunjifu was amani.Na unajua Kuna kitu nahisi maana juhudi zooote hizo kuingiza makomando ni mbowe anatafutwa sasa napata hisia huenda sabaya amefungwa kwa maksudi ili mbowe afungwe then wakutane jela atekeleze adhima yake ya kumuua wakiwa jela Kama wafungwa baadae sabaya atolewe kwa msamaha wa rais wakati huo mbowe ni marehemu hizo ni hisia zangu
Hilo hapana mbowe hawezi panga na serikali maana serikali haimuongopi mbowe ila washauri na wafuasi wa serikali wanamuogopa kwa misimamo yeka isiyo tetereshwa sasa kumuua hadharani italeta shida kimataifa itazidi kuchafua nchi hivyo nahisi Kuna akili ya kijinga inatakiwa kutumika maana siwezi kusema akili kubwa nitakuwa nawapa sifa wasiyostahiliKwanini wasimuue tu hadharani mpaka wazunguke pote huko. Mimi nadhani Mbowe ametumika na serikali Kama scapegoat ya kuonesha kwamba Tanzania tunapambana na ugaidi, ili tuaminiwe na mataifa ya nje na kupewa msaada. Ilihali kosa sio ugaidi Bali ni aidha kupanga kujeruhi au kusababisha uvunjifu was amani.
Zaidi ya bastola moja na risasi tatuNaomba unisaidie kuona ushahidi wowote au kielelezo chochote kinachoonyesha 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi'. Najaribu kutafuta kila siku sijafanikiwa. Labda ni mimi sielewi.
Sawa mkuu mbona hata hao mawakili wa JAMHURI naona wameanza kuweka mapingamizi kwa mashahidi,hukujua ilikuwa mitego na sasa wanadumbukia kwenye mashimo waliyoyachimba wao wenyewe the Lembrus shahidi Tata amevuruga walichokijenga kwa jasho na damu kwa saa chache tu.Hoja dhaifu sana hizo,haziwezi kumuokoa mbowe
Polisi anaweza kufanya kazi popote...
Hahahahahaha...WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya
Shahidi: Ni sahih...
Maana ya kusema madhumuni fulani fulani ndo point yako kwamba alijimaliza kukumbali au kuna jingine?WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya....
Kesi ya kubumba hiyo kaka, jamuhuri hawawezi kukubali hilo litokeeVituo vya polisi havina camera za CCTV mapokezi kujua nani ameingia au kutoka?
Mbona haya mambo yanayobishaniwa yangeweza kumalizwa kirahisi sana kwa teknolojia ndogo kabisa za kisasa?!
Huyu kabumbwa na kujilipua kwa maslahi ya MboweMaana ya kusema madhumuni fulani fulani ndo point yako kwamba alijimaliza kukumbali au kuna jingine?
Sidhani jamaa anajiamini sanaa kua mushabiki wa wacdame ni just an added advantage ila iko poa sanaa ukilinganisha na wale mashahidi wa police walio ingia na kijitabu.Huyu kabumbwa na kujilipua kwa maslahi ya Mbowe
Poa. Labda niulize kwamba ni namna gani hivyo ulivyovitaja viko related na 'kupanga kula njama kufanya vitendo vya kigaidi' to the extent that nikimwona mtu mwingine whether anamiliki silaha legally au illegally niweze kuona kama ana hizo characteristics za kupanga kula njama/kufanya vitendo vya kigaidi.
WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenyaSidhani jamaa anajiamini sanaa kua mushabiki wa wacdame ni just an added advantage ila iko poa sanaa ukilinganisha na wale mashahidi wa police walio ingia na kijitabu.
huamini jamhuri inaweza kupoteza pesa kutengeneza kesi kubwa namna hii?....wake up....mashahidi wao wote ni polisi-wanalipwa mshahara na serikali. Na Tangu jpm aingie madarakani hawakupandishwa vyeo. Ukiahidiwa kupandishwa cheo ili utende uovu ikiwa wewe si mtu wa haki lazima utakubali.Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe, mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.
Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii.
Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.
Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.
Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.
Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa, kwasababu atainajinsi mahakama. Hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu
Hoja dhaifu sana hizo,haziwezi kumuokoa mbowe.
Polisi anaweza kufanya kazi popote.
Mahakama inapochakata ushahidi,inajiegemeza katika kuangalia unamuhusishaje mshitakiwa. Katika kupeleleza polisi wanaweza kumtoa askari nachingwea,kwa sababu ana utaalam na ugaidi ili aende maswa kuna tukio.
Kibatala anatakiwa ajipange kupangua ushadi,sio kupinga mashahidi sijui huyu anatoka kyela kafikaje Arusha,mteja wake atazama