ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Utunzi wa Kamanda Kingai umeishapwaya sana, walichobakiza ni kulazimisha kukataa ushahidi unaowatengua nyonga. Nako pamoja na yote ya kubebwa bebwa wazidi kupwaya.Naomba unisaidie kuona ushahidi wowote au kielelezo chochote kinachoonyesha 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi'. Najaribu kutafuta kila siku sijafanikiwa. Labda ni mimi sielewi.