CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 285
Habari zenu wapendwa!
Hakika leo ni siku ya furaha kubwa kutokana na kukumbuka siku nchi yetu ya TANGANYIKA ilipopata uhuru kamili.
Pamoja na Uhuru huo bado Nchi yenyewe imejaa simanzi kutokana na wananchi wake kutofaidi MATUNDA ya nchi yao na kuendelea kuwaangalia WACHACHE ambao ni watawala wakijinufaisha na RASIRIMALI za nchi.
Nipo ndani ya Ukumbi na MAANDALIZI yakiendelea huku VIJANA na Wapenzi mbali mbali wa NCHI yao WAKIMIMINIKA.

Tuko hapa ubungo landmark kwenye kongamano la miaka 52 ya uhuru watu ni wengi na tutakuwa live kwa update. Mambo muhimu (1)mgeni rasmi mh! Freeman Mbowe,(2) watoa mada mh! JJ Mnyika mh! Tundu Lissu, Kitila Mkumbo, Mabele Marando (3) uzinduzi wa albam ya nyimbo za chama (CHADEMA) za Lilian Wasira