Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013


E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
14,919
Likes
4,691
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
14,919 4,691 280
Mimi pia nipo ndani ya landmark naona Makamanda wanafuraha Wanaimba nyimbo za kuikanda masisiemu

.....Kamanda pamoja sana

...Huku isungangwada ntarusha moja kwa moja kupitia JF ...
 
B

Boriti

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
9
Likes
0
Points
3
B

Boriti

Member
Joined Nov 14, 2013
9 0 3
Chadema niwape moyo bado kitambo kidogo tu mtafanikisha ukombozi wa Taifa hili.Jipangeni vizuri mtashinda.Suala moja muhimu wasaliti wenu wamejitambua na wameamua kuwa hawahami chama,wasikilizeni. Wapinzani wenu wameona hawatoki kwa hiari yao wanatengeneza sababu ili muwafukuze hili kamwe msiwape wapinzani wenu wanachotaka.Pamoja na madhaifu ya ZZK bado ni mwanachama mzuri wa cdm.Kosa amefanya na amekubali matokeo kwa kuwa hata mkutano wake anasema hatoki cdm,sasa ni wakati wake wa kudhihirisha kuwa anafaa kuwa kiongozi wa cdm kwa kutoka hadharani na kukemea wanachofanya wapinzani wa cdm.
 
O

obama sererea

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
101
Likes
1
Points
35
O

obama sererea

Senior Member
Joined Mar 13, 2012
101 1 35
Vijana wa chaso ni wengi sanaa
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,430
Likes
24,453
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,430 24,453 280
TV gani sasa wakuu.mbona mnakuwa hivyo.
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Kumbe na wewe ni Bavicha.
VIJANA wa UVCCM kanda ya Dsm; wametinga ndani, wapo tayari kurudisha KADI mbele ya KONGAMANO.
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,430
Likes
24,453
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,430 24,453 280
Tuko hapa ubungo landmark kwenye kongamano la miaka 52 ya uhuru watu ni wengi na tutakuwa live kwa update. Mambo muhimu (1)mgeni rasmi mh! Freeman mbowe,(2) watoa mada mh! jj mnyika mh! Tundu lissu,kitila mkumbo,mabele marando (3) uzinduzi wa albam ya nyimbo za chama (chadema) za lilian wasira
Zitto ni wa kusakwa na kufungwa kamba ukumbini
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Chadema niwape moyo bado kitambo kidogo tu mtafanikisha ukombozi wa Taifa hili.Jipangeni vizuri mtashinda.Suala moja muhimu wasaliti wenu wamejitambua na wameamua kuwa hawahami chama,wasikilizeni. Wapinzani wenu wameona hawatoki kwa hiari yao wanatengeneza sababu ili muwafukuze hili kamwe msiwape wapinzani wenu wanachotaka.Pamoja na madhaifu ya ZZK bado ni mwanachama mzuri wa cdm.Kosa amefanya na amekubali matokeo kwa kuwa hata mkutano wake anasema hatoki cdm,sasa ni wakati wake wa kudhihirisha kuwa anafaa kuwa kiongozi wa cdm kwa kutoka hadharani na kukemea wanachofanya wapinzani wa cdm.
maneno yako yamejaa BUSARA na UELEWA mkubwa; Safari si Ndefu, bali njia imesonga miba, na 'vikorokoro' vidogo ambavyo inabidi tupite kwa UANGALIFU.
 
S

Shackshake

Senior Member
Joined
May 27, 2013
Messages
187
Likes
5
Points
0
Age
38
S

Shackshake

Senior Member
Joined May 27, 2013
187 5 0
Mnyika ndani ya nyumba
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
UPDATES:

kamanda J.MNYIKA ndiyo amekuwa kiongozi wa kwanza KUFIKA... Akipokelewa kwa nderemo kubwa na wananchi waliopo UKUMBINI.
 
ferre.g

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
2,222
Likes
19
Points
135
ferre.g

ferre.g

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
2,222 19 135
Tupeni mawe ya huko ccm watajuta
 
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Messages
2,525
Likes
133
Points
160
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2013
2,525 133 160
Sherehe zetu zinaendelea ila nashangaa mboe kafata nini hapa badala ya kwenda landmak, idiot mbowe
Husna kazi wewe gamba nenda kwenye sherehe zenu za uhuru.....idiot..
 
Goodluck Mshana

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,229
Likes
640
Points
280
Goodluck Mshana

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,229 640 280
UPDATES:

kamanda J.MNYIKA ndiyo amekuwa kiongozi wa kwanza KUFIKA... Akipokelewa kwa nderemo kubwa na wananchi waliopo UKUMBINI.
Kamanda MNYIKA anabadilishana mawazo ya hapa na pale na baadhi ya makamanda!! Pamenoga saaana...M4C DAIMA. ChaDeMa ni mpango wa Mungu..
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Shit! nenda uwanja wa taifa ukale wali na magamba wenzio!
asisahau kushangaa NDEGE za Kijeshi, maana wengi wameenda kwa KUSHANGAA hawana WAJIFUNZACHO.
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,904
Likes
358
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,904 358 180
Cdm 4 life
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
77
Points
145
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 77 145
Nipo mbeya jf inaniunganisha km nipo landmark
 
By hair

By hair

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
142
Likes
2
Points
0
Age
43
By hair

By hair

Senior Member
Joined Sep 6, 2013
142 2 0
Tupo pamoja,hii mijitu imetunyonya tumebaki nifupa tu,lakini babo imo tu,
 

Forum statistics

Threads 1,262,913
Members 485,739
Posts 30,135,690