Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013


P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
1,008
Likes
639
Points
280
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
1,008 639 280
Hizi ndio strategy kwa chama makini na viongozi makini.ccm wameshindwa kutumia opportunity kama hii wao wako busy kuandika mabango
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Nipo mbeya jf inaniunganisha km nipo landmark
Nyimbo mbalimbali za CHAMA zinaendelea kuburudisha na kutafakarisha UMATI uliopo UKUMBINI; Huku Viongozi na Wageni Rasmi wakisubiriwa kwa HAMU kubwa zaidi.
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Tupo pamoja,hii mijitu imetunyonya tumebaki nifupa tu,lakini babo imo tu,
MaCcM wameshindwa kuwaambia WANANCHI kwanini Nchi Yetu TAJIRI kwa Rasilimali lakini ndiyo ina MASKINI wengi!
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Hizi ndio strategy kwa chama makini na viongozi makini.ccm wameshindwa kutumia opportunity kama hii wao wako busy kuandika mabango
Ndiyo tumezidi KUIMARIKA zaidi; kuliko MIAKA yote. Sisi Tunapiga HARAKATI, bila HOFU.
 
O

obama sererea

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
101
Likes
1
Points
35
O

obama sererea

Senior Member
Joined Mar 13, 2012
101 1 35
Hatuko live kwenye tv
 
J

JBITUNGO

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
1,223
Likes
174
Points
160
J

JBITUNGO

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
1,223 174 160
Habari zenu wapendwa!


Hakika leo ni siku ya furaha kubwa kutokana na kukumbuka siku nchi yetu ya TANGANYIKA ilipopata uhuru kamili.


Pamoja na Uhuru huo bado Nchi yenyewe imejaa simanzi kutokana na wananchi wake kutofaidi MATUNDA ya nchi yao na kuendelea kuwaangalia WACHACHE ambao ni watawala wakijinufaisha na RASIRIMALI za nchi.

Nipo ndani ya Ukumbi na MAANDALIZI yakiendelea huku VIJANA na Wapenzi mbali mbali wa NCHI yao WAKIMIMINIKA.
Kongamano linaanza saa ngapi jamani. Tungependa kufuatilia hili tukio.
 
O

obama sererea

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
101
Likes
1
Points
35
O

obama sererea

Senior Member
Joined Mar 13, 2012
101 1 35
Mh!godbless Lema,peter msigwa,john heche ndani hapa
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Updates: Shughuli ndiyo inaanza... Waliopo Mezani ni J.MNYIKA, Mch. P.MSIGWA, G. LEMA, J. HECHE... Cheche zimeanza! Peoples'
 
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
3,153
Likes
662
Points
280
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
3,153 662 280
pamoja sana makamanda wa Nguvu
 
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
1,008
Likes
639
Points
280
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
1,008 639 280
Huku Dr anaimarisha Chama Kigoma,Pale nyanda za juu yuko Kamanda Benson na chadema ni msingi, Pwani yuko mdee ,Mbowe,Lissu,Mnyika na Kitila wanaongea na vijana na wapenda mabadiliko wote.CDM chama kubwa!!!
 
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
1,244
Likes
16
Points
135
Age
29
C

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
1,244 16 135
Huku Dr anaimarisha Chama Kigoma,Pale nyanda za juu yuko Kamanda Benson na chadema ni msingi, Pwani yuko mdee ,Mbowe,Lissu,Mnyika na Kitila wanaongea na vijana na wapenda mabadiliko wote.CDM chama kubwa!!!
kazi wanayo MAGAMBA! Watajuta kuijua CHADEMA... Kazi inaendelea.
 
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
1,008
Likes
639
Points
280
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
1,008 639 280
CDM ni kama maji, Usipoyanywa utaogea usipoogea utapigia hata mswaki.
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,903
Likes
358
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,903 358 180
Vp,Kamanda Mbowe atatinga au?
 
M

Mastone Syonga

Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
20
Likes
0
Points
0
M

Mastone Syonga

Member
Joined Nov 30, 2013
20 0 0
vp huyu mchumia tumbo habibu mchange kwani yeye umri wake ni miaka mingapi?au yeye kishapita ujana
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,321
Likes
17,507
Points
280
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,321 17,507 280
hongerw chadema,!!
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,502
Likes
3,771
Points
280
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,502 3,771 280
Mngerusha live kwenye tv ingependeza sana!
 
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
645
Likes
207
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
645 207 60
watu ni wengi sana una ukumbi huu wa Landmark umefurika kabsa.
John Mnyika ndo anaongea na anasema mwenyekiti taifa kaanzia kwenye sherehe za Uhuru ila baade atakuja.
Anasema si sahihi kusema leo ni uhuru wa Tanzania bali ni uhuru wa Tanganyika.
Kwani Tanzania imekuwepo kuanzia 1964 wakati uhuru ushakuwepo.
 

Forum statistics

Threads 1,263,845
Members 486,093
Posts 30,165,837