Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

Unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
Nikujibu kwa kifupi sana

Amiri jeshi mkuu is not equal to wanajeshi!
 
Kesi hii itoshe kuonesha kuwa Wanajeshi na Makomandoo wa JWTZ wamechezea kichapo sana kutoka kwa Polisi. Na itakuwa wanawadharau sana kuwa si lolote.
Tena kichapo heavy, hii ni aibu kubwa kwa JWTZ, highly trained soldiers ( commando) kuzalilishwa kiasi hiki na wahuni wachache haikubaliki ni dharau kwa Jeshi.
 
Wakili wa Serikali: Na Muda wote huo Hukuwa unakula kwa sababu Ulikuwa Umefungwa Pingu

Shahidi: Ndiyo, Nilikuwa Nashindwa Kula sababu ya Pingu na pia nilikuwa nahofia Nitashindwa kujiosha Baada ya Haja
haya mateso si ya ki-ubinadamu kabisa !! so sad.
 
Jaji: Kwa hiyo tunakubaliana Tarehe 07 Mtaleta Submission lakini Uamuzi wake Mahakama Itatoa Tarehe 14/12/2021

Jaji: Na Wakati Wote huo Washtakiwa Watakuwa Rumande chini ya Magereza, Nawatakia Maandalizi mema ya Submission

Jaji anatoka

haya mateso si ya ki-ubinadamu kabisa !! so sad.
Wakili wa Serikali: Na Muda wote huo Hukuwa unakula kwa sababu Ulikuwa Umefungwa Pingu

Shahidi: Ndiyo, Nilikuwa Nashindwa Kula sababu ya Pingu na pia nilikuwa nahofia Nitashindwa kujiosha Baada ya Haja
 
Kesi hii nahisi hadi 'mzee wa ouvu shetani' anatushangaa kwa ukatili, unyama na ushenzi ambao huenda hata yeye hawezi kuufanya!
 
Hawa Polisi , Wamejitengenezea Ugomvi mkubwa na Jeshi. kwa Akili ya Wanajeshi, Ipo siku kuna Askari atarushwa kichura chura.
 
Mchome umeharibu sherehe mtaa wa Lumumba!
Kwa kweli ushahidi wa Mchome unafikirisha. ATI:
  • Sikuwa na kitu nilipokaguliwa
  • Alimwomba mpelezi achukue pesa kwenye PPR yake akamnunulie chakula
  • Huyo mpelelezi alikuwa akimletea chakula mahabusu
  • Anajua jina la mpelelezi na namba yake ya usajiri
  • Lakini hajui majina na namba za usajiri askari wa mapokezi na wa mahabusu

Du!!!!
 
unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
Hivi wewe unaelewa maana ya watu wasiojulikana, au unachangia mada tu ili mradi umechangia?
 
Kwa kweli ushahidi wa Mchoje unafikirisha. ATI:
  • Sikuwa na kitu nilipojaguliwa
  • Alimwomba mpelezi achukue pesa kwenye PPR yake akamnunulie chakula
  • Huyo mpelelezi alikuwa akimletea chakula mahabusu
  • Anajua jina la mpelelezi na namba yake ya usajiri
  • Lakini hajui majina na namba ya usajiri askari wa mapokezi na wa mahabusu

Du!!!!

Kwenye point number 4, kuna ajabu gani hapo?? Mapokezi wanaweza kukuandika hata ukiwa cell. Hakuna sehemu unatakiwa kusaini. Na shahidi alikuwa tayari anahamishwa kutoka Moshi, taarifa zake hazikuwa ngeni. Anaweza akamfahamu zaidi mpelelezi kwa sababu wataongea mara nyingi katika mpelelezi kutaka kujenga ushahidi!! Askari wa mapokezi ukikosa kumfahamu siku unakamatwa, huenda usipate kumwona tena kwa sababu askari huyu hahusiki na kesi yako na hata wakati unatolewa inaweza kuwa zamu ya askari mwingine.

Kwa ujinga huu kweli kuna kitu unaweza ku-reason!?
 
Back
Top Bottom