Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Ndiyo kazi ninayo fanya- kuwatahadharisha watu kuwa hizi updates
zimehaririwa kujenga taswira kuwa
1. Mbowe ameonewa
2. serikali haina ushahidi
3.polisi ni wajinga
4. mawakili waserikali hawajui
5. mahakama zinaupendeleo au zimebanwa na dola
Hivi unajua unachokisema hujui unachosema. Watu tuko Mahakamani KILA siku ya kesi. Yanayoripotiwa NI hayo hayo yanayo ripotiwa. Hebu Acha kutaharibia Tamdhilia yetu. Kaa chonjo saa mbaya.
 
Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,

Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
Kweli kuna watu akilizao ziko nyuma ya makalio
 
Urio ANAKIRI kuwa hakuna mtu zaidi yake aliyekuwa anawafahamu watuhumiwa na mwenendo mzima wa mipango ya ugaidi, lakini ANAKANA hakuwa 'msiri' wa kina Kingai.

”The lights are on but nobody at home”.
 
Urio ANAKIRI kuwa hakuna mtu zaidi yake aliyekuwa anawafahamu watuhumiwa na mwenendo mzima wa mipango ya ugaidi, lakini ANAKANA hakuwa MSIRI wa kina Kingai.

”The lights are on but nobody at home”.
Hapo ndiyo ujue ukubwa wa serikali na dola zake
 
Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.

Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.

Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini

Maswali Yamesimama hapa kwa muda

Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.

Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha.
Hiki kipengele ndo nimemwambia mtu mmoja anayejiona anajua sheria kwamba baada ya kuona shahidi ataharibu zaidi Mawakili wa serikali wakaamua Ku give up.
 
Aisee

Screenshot_20220202-124310.png
 
Jamani ninyi mmeonaje? siku ya leo 3rd Feb 22 imekuwa ndefuu mno, kila kitu kinaoba boa tu - yaani bila hawa mashahidi wa uongo kufanya siku iwe fupi ni shidah.
 
Jamani ninyi mmeonaje? siku ya leo 3rd Feb 22 imekuwa ndefuu mno, kila kitu kinaoba boa tu - yaani bila hawa mashahidi wa uongo kufanya siku iwe fupi ni shidah.
nasikia upande wa Mashtaka wapo 27 lkn kufika kwa Lt Dennis Leo Urio wamepotea au Sabaya hatakiwi tena kutoa ushahidi maana ndiye mlalamikaji wa kwanza toka alipokwama Hotel ya Protea kule Machame akidai Mbowe ana makomandoo
 
Du umenikumbusha Sabaya alipoenda na magari yenye namba za UN usiku wa manane
 
Back
Top Bottom