Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Mawakili upande wa utetezi wameweza kujenga hoja mpaka Urio na mawakili upande wa mashtaka wametepeta. Kusema ukweli kizimba cha mahakama kimekuwa cha moto kuliko shahidi mwingine awaye yeyote yule.

Tukumbuke tu huyu ndiye ambaye alikuwa shahidi muhimu mno upande wa mashtaka. Sasa maswalu chokonozi kuhusu ex-commandors Khalid na Mhina ndivyo vitamvua nguo hadharani. Nakubaliana kabisa na hoja ya Wakili Msomi Kbatala kuwa katika majibu ya Lt. Urio "light's are on, but nobody in the house"
 
Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.

Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.

Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini

Maswali Yamesimama hapa kwa muda

Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.

Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
Eti anafuatwa na kurudishwa hotelini na escorts za mawakili wa serikali 😅🤣😂.
Katika mashahidi wote ni nani mwingine alipata huduma ya escort ya mawakili?
Si aseme tu anatokea remanded
 
Wakitoka hapo wanaenda kusaini per diem ya leo Kama Shilingi 200,000/= hivi. The guys are having good stay in Dar
Ipo siku watakamatwa na kutupwa jela kwa kuidanganya serikali na kusababisha ulaji wa burebure wa pesa ya wananchi.

Hii ni sawa na kufanyia ufuska pesa ya jasho la wananchi wanaoteseka usiku na mchana wakifanya kazi, kisha mapunguani yanafanyia pesa ufuska kwa kujionyesha hadharani.

Hii ni zaidi ya kuwarushia matusi wanaokulipa. Watanzania wanalipa mijitu, kisha hiyo mijitu inawaonyesha dole la kati. AIBU TUPU.
 
HV mbna huwa hawo mawakili wa kike hawanaga maswali yoyote kwa mashidi sijawahi sikia mwanmke akiuliza maswali mashahidi kazi yao Ni kufika na kuwahi siti za mbele na kuketi mbele na majoho yao. VIP au Ni learner's nn au wako field tu
Maswali mengi yanaulizwa na kina kibatala na mallya San na nashon
 
Huyu wakili kavuta machende ya Shahidi mpaka shihidi kakiri kwa wakati naandika maelezo sikuwa free lakini hapa natoa maelezo Niko free.

"Truth shall set you free"

Yesu Christ mwokozi wa ulimwengu ukikataa ni wewe.
Screenshot_20220201-201711.jpg
20220201_142546.jpg
 
Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.

Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.

Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini

Maswali Yamesimama hapa kwa muda

Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.

Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
Kwanini wasikiri TU kuwa wamekuwa kwenye mchongo wakulipwa⛹️.
 
Mkuu wap kasema uongo?? Chanzo kipi kinasema uongo, leteni uthibitisho, hum ndn mtu anaweza akazushaaa tu Jambo halafu Bila ushahid kwa sabba za intereste za watu wakalichukuwa hvyo Bila hata kuhoji, haya semen Sasa uongo Ni upi??
unaifuatilia hii Kesi kweli? hukagundua huyo jamaa kachukuliwa boya tu kwa ukaribu na Mbowe miaka hiyo ya 2012 kwani Inspector Swila kafungua file la Kesi ya ugaidi hata hawajakutana na Lt Leo Urio
kadanganya Cheti cha form 4 Cha King'ori, sio chake, kweli hamjui Mwl Mkuu? hajuu km walifanya mahafali lini? hamjui Baba yake mdogo, mtoto wake, Paroko wake
Screenshot_20220131-155808.jpg
Screenshot_20220131-104926.jpg
 
Ohooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuu
UONGO MKUBWA unaileta hapa, Mwendazake angemmaliza Mbowe na tusingemsikia km Ben saa8, wamemuua Lissu na wanataka wasome risala Ukumbini, kanyang'anywa mafao yake yote, Yule kichaa kakata majina anaowachukia ndani ya Chama chake, kahakikisha wapinzani hawaingii kuanzia Serikali za mitaa, kafungia mitandao yote mpaka JF enzi tulikuwa hatuchangii chochote NI kutishana inbox
hebu usitukumbushe eti siasa
Leo Lt Leo kasema washtakiwa NI watu wema?
Screenshot_20220131-161137.jpg
 
Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.

Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.

Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini

Maswali Yamesimama hapa kwa muda

Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.

Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
updatea zingine zinaeleza tofauti

Kibatala amemaliza kumhoji Luteni Urio na sasa upande wa mashtaka wanatakiwa kumfanyia re- examination ( mawakili wa Serikali kumuuliza shahidi kwa ajili ya kupata ufafanuzi kuhusiana na ushahidi alioutoa wakati anahojiwa na mawakili wa upande wa utetezi).

Wakili Chavula: Hebu ifafanulie mahakama ni Kwanini ulimwambia Freeman Mbowe atumie wakala au msaidizi wake kutuma pesa bada ya kutumia namba yake ini salama zaidi

Shahidi: Nilimwambia atumie Wakala au msaidizi wake ili niweze kuwini Trust.

Wakili: Kuna swali uliulizwa kuhusu kukamatwa kwa kina Bwire ukasema hukushangaa ulivyosikia wamekamatwa.

Shahidi: Sikushangaa kwa sababu walinipa taarifa wakiwa wameshapanga.

Wakili: Licha ya wewe kuwa na cheo na kumwambia Freeman Mbowe kuwa huna cheo hebu ifafanulie mahakama kwanini ulisema jibu hilo wewe ulikuwa mkweli.

Shahidi: Kwa mara ya kwanza ndio nakutana na Freeman Mbowe anataka kujua cheo changu nilimjibu hivyo kwa ajili ya usalama.

Wakili: Ulisikika uliieleza mahakama ukisema uliwaambia washtakiwa wakafanye kazi ya ulinzi na kuambatana nae katika kuchukua dola ulikuwa unamaanisha nini

Shahidi: Dhumuni kubwa la Mbowe kuwahitaji hao watu ilikuwa ni kwa ajili ya kukata miti, kuchoma vituo vya mafuta pamoja na kumdhuru viongozi.

Wakili Chavula:Mheshimiwa Jaji ni hayo tu.
 
updatea zingine zinzeleza tofauti

Methali 6:16-19

Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya kiburi, ulimi mdanganyifu, mikono inayoua wasio na hatia, moyo unaopanga mipango miovu, miguu iliyo mbioni kutenda maovu, shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
 
Luteni Urio kaupiga mwingi sana, ongera kamanda wa kweli! Kibatala kajaribu kukuvuruga wee kashindwa kaishia kutumia muda mrefu zaidi!
 
... kiini cha shauri zima ni huyo jamaa! So, ni lazima atapishwe kila kitu to the extent possible. Na amehara haswa maana "pipi" bado zinaendelea kumtoka!
HIvi huyu Jamaa MBOWE na hao Wanajeshi Wenzie Walimkosea Nini hadi afanye Usaliti WA kuwatesa HIvi😭😭Yaani tangu nimepata akili Sijawahi sikia Mchaga Tena Mkristo mwenye Roho mbaya kama huyu Urio. Unatesa Wenzako Kwa Faida gani Hapa Duniani waliyopita Wafalme na Matajiri wakaiacha.Huyu Urio akutane Simba wamrarue vipande Vipande. Yaani hata Mshipa WA Aibu Hana. Kazi tu ohh Sijui, Sifahamu, muulize Mbowe. Ikatokea Wakanyongwa Denis Urio atapaya Nini?
 
Luteni Urio kaupiga mwingi sana, ongera kamanda wa kweli! Kibatala kajaribu kukuvuruga wee kashindwa kaishia kutumia muda mrefu zaidi!
Urio ndio kawatafuta makomandoo na kuwapa pesa sasa gaidi ni nani hapa
 
... sio tu shahidi bali komandoo mkufunzi! Uzima wa akili yake ni wa kutilia shaka; no wonder from the begining wakili msomi Kibatala ali-caution "the lights are on but nobody at home" msemo unaomaanisha "mtu mjinga". Alishamwona muda mrefu!
Angalia zoba hili! Kwa hiyo kucheka mahakamani ni kosa? Wewe ndo kubwa la majinga
 
Angalia zoba hili! Kwa hiyo kucheka mahakamani ni kosa? Wewe ndo kubwa la majinga
... umati wote uliofurika mahakamani uko kimya unacheka peke yako utakuwa mzima wewe? Au ndio zako kujikesha ovyo mbele za watu bila sababu wewe fala?
 
Ohooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuu
Hoja chekeshi hutokana na chuki na ndoto za wanaomuenzi shetani
 
Mawakili wa Serikali wanaanda Mashahidi mpaka wawatengeneze. Sasa wanajua kesi ni kila siku ipo kwanini Mashahidi hawawi tayari muda wowote? Na Jaji Anawachekea tuuu

Yaani siku 2 kutafuta Mashahidi na Walikuwa Wameorodheshwa. Ni ajabu
Unganisha na shughuli inayokutanisha mihimili pia leo Dodoma!
 
Back
Top Bottom