Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Una hakika? We binafsi unajua nini? Na kwa nini nyie ni majizi sana? Unajua mini hufanyika? Kwa nini mkishindwa huwa hamtangazi matokeo hadi muone watu wako tayari muwauwe? Nitajie mbunge mmoja wa Chadema ambaye alitangazwa kwa haki! Majizi nyie mnadhani hatujui? Ukawa imewakaba mnabwabwaja tu! Tulieni dawa iwaingie! This time sio Chadema ni ukawa! Ndo mtajua! Cheki na invizibo akupe dili za baraza jipya la mawaziri lilovuja na benki ya dunia yagoma kutoa msaada tz, mfe tu!

Siwezi kubishana na wewe kwa sababu naona umejifungua kwenye box huoni nje, na kwa akili yako ilivyo fupi unaona kila mpinzani ni CCM, sina ushabiki wa siasa za kiafrica, nadharia yangu inaamini hakuna mwanasiasa katika nchi hiyo mwenye nia ya dhati kusaidia jamii, wote wamekwenda kwa ajili ya matumbo yao na family zao,upinzani uko tz toka mwaka 1992 mbinu za CCM ni zile zile za wizi zakuhadaa miaka 22 mmekaa kulalamika tu nini kinawashinda kuiga mbinu zao? Kama pesa na nyinyi simnavuta ruzuku?
Nilisema mtaanza kulalamika pitia malalamiko ya wenzako wameishanza mara majina hayaonekani mara CCM wameshapiga kura, mpaka lini mtalalamika?
 
Ni saa tatu na dkk kibao upigaji kura hado haujaanza hapa Kakola mkoani Shinyanga.Ni mji mkubwa na ni ngome ya Chadema.Nasikia watawala wamefanya makusudi ili kukibeba kile chama cha mafisadi.Chondechonde watawala,acheni haki itendeke.

Siyo huko tu mkuu, niko hapa Nyehunge wanasema karatasi za kupigia kura hazijafika ila masunduku walitukabidhi jana jioni.
 
Una hakika? We binafsi unajua nini? Na kwa nini nyie ni majizi sana? Unajua mini hufanyika? Kwa nini mkishindwa huwa hamtangazi matokeo hadi muone watu wako tayari muwauwe? Nitajie mbunge mmoja wa Chadema ambaye alitangazwa kwa haki! Majizi nyie mnadhani hatujui? Ukawa imewakaba mnabwabwaja tu! Tulieni dawa iwaingie! This time sio Chadema ni ukawa! Ndo mtajua! Cheki na invizibo akupe dili za baraza jipya la mawaziri lilovuja na benki ya dunia yagoma kutoa msaada tz, mfe tu!

Mkuu kwenye post zako za kuku nakufuatilia sana. Nimeleta kuchi 20 na wote wako vizuri. Napenda pia harakati zako za ukombozi. Safi Sana kamanda
 
Mkuu wezi hawakosekani ktk familia moja hata huko wapo.
mkuu acha kutetea wezi kumbe maana ccm nimefanya rushwa kuwa tunu ya taifa kw uzoefu wenu katika wizi watanzania hatuna imani wezi ccm tena.
 
wanajamvi naomba kujua idadi ya vijiji na mitaa kote tanzania tafadhali
 
Mkuu wangu na ndugu yangu kipenzi Ngongoseke kiukweli hamu ya mabidiliko kwa vijana wengi ni kubwa sana hasa ukizingatia wakati kama huu nchi hii imezidi kuzama katika kila aina ya unyonyaji kwa wananchi wake lakini hawa tunaowaita wanamabadiliko wenyewe wapohoi bin taabani aka wasakatonge walilokosa tonge hilo kutoka CCM au wanaosaka chanci ya kuwapiga watz kama watawala wanavyofanya. Kwa mtindo huu tutake tusitake bado sana mpaka kuja kuwang'oa CCM.

Nimekuwapo hivi karibuni maeneo ya kusini mwa nchi hii ambako angalau kwamba CUF inapigapiga kelele lakini nimeshuhudia maisha ya watu huko niya mashaka sana na wengi wao wanachagua viongozi hasa kutokana na kidogo kitu wanachopata.

Safari ni ndefu sana ukizingatia waendeshaji wenyewe wa harakati hizi si wamoja.
 
Last edited by a moderator:
kata ya Zagayu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu uchaguzi bado haujaanza hadi muda huu kwa sababu karatasi za kupigia kura hazijafika yapo masanduku ya kura tu.
 
Sisi hapa nzega tunaendelea kuua nyani taratiiiibu
 
wewe una tofauti gani na hao wa stend! wakati na wewe unazulura tu hutaki kupiga kura!

Safari zangu ni muhimu sana niza kuwahudumia Watanzania so hata kama ingekuaje nilazima tu kwa mimi kusafiri. Kama ilivyo kwa daktari aliepangiwa kufanya operation ya mama mjazito leo hawezi kuahirisha kwakuwa kuna upigwaji wa kura wa kuwachagua wanasihasa.
 
Una roho mbaya sana mkuu! Naomba mungu alaani vizazi vyako vyote! Machungu ya watanzania yabadilike kuwa laana na mateso kwa vizazi vyako vyote! Ulaaniwe sana mkuu!

Hata ujaelewa nilichoandika so kwaushauri tu rudia maandishi yangu. Hizo laana zako wapelekee mafisadi sio mimi.
 
Shule ya sekondari shungu kitongoji cha minarani kama mnavyoona hapa. Amani imetawala
 

Attachments

  • 1418539345673.jpg
    1418539345673.jpg
    90.8 KB · Views: 258
  • 1418539365598.jpg
    1418539365598.jpg
    104.1 KB · Views: 239
mi nipo hukui mkuranga, mpaka sasa ofisi haijafunguliwa, na tumeambiwa kuwa form za wajumbe hazijafika, tupo hapa, tunasubiria, nimempigia simu mke wangu, aniletee chupa ya chai hapa hapa, ninywe chai, ili nipate nguvu ya kupiga kura, sitaki kurudi nyumbani.
 
Fuatili Channel 10 kuanzia muda huu kujua kinachojiri katika uchaguzi huu nchi nzima

Channel 10, imesambaza wawakilishi wake nchi nzima ili kueleza kinachojiri.

Kwa kuanza hivi sasa wanaripoti yanayojiri mkuo wa Dar-es-Salaam ambapo mtangazaji anasema muitikio ni mkubwa ukilinganisha na chaguzi zilizopita.

Tatizo linalojitokeza kwa baadhi ya vituo kwa mujibu wa mtangazaji ni majina ya wapiga kura kutoonekana vizuri katika karatasi zilizobandikwa.Hali hii ni kwa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar-es-Salaam
 
Back
Top Bottom