Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Nimeshapiga kura

Nyie ccm acheni wizi wa kiboya....
Kuna vijana wamekuta majina yao yashapigiwa kura....yaani watu wamepiga kura kwa kutumia majina ya watu....wenyewe walivyokuja ni tafrani nimeshindwa kupiga picha kwasbb police walikuwa washatinga ....

Tunaomba utuambie ni sehemu gani hapo
 
mGOMBEA URAISI 2015 ndio katuandalia huu uchaguzi tumpime utendaji wake kupitia ufanisi wa huu uchaguzi
 
Wakuu naomba kuweka namba za Katibu wa TAMISEMI ambaye nimeongea naye muda mfupi mpigieni simu kwa kadri mtakavyoweza maana wanajitoa ufahamu maksudi na Jana ametamba sana kwenye vyombo vya habari akidai mambo yote yapo vizuri

No zake hizi 0784316175
 
namshukuru YESU KRISTO nimepiga kura yangu salama. Wasimamizi wana lugha ya hovyo sana

Safari hii maelekezo waliyopewa watendaji ni kuchagua Kwa makini wasimamizi ambao wana mlengo Wa kiccm. Nmemsikia msimamizi akimtania mgombea Wa cuf katika kituo changu eti "si ungejitoa uchukue zile hela tena ningekuletea Jana ileile'.
 
Kweli mdomo hautembei.haupiki.haulimi.haufanyikazi.ndiyo maana .wamekaliya maneno.tuuuuuuu!!!! Acha maneno tumiya vitendo.tumepetaaaa.ccm juuu!!!!
 
Hapa Nzasa B tunafunga hili tuanze mahesabu tujue mbivu na mbichi.
 
Huku kwetu utaratibu mbovu hatari. mpaka sasa sijapiga kura ..na watu kibao hawajapiga kura. ....ila tunakomaa mpaka kieleweke. ....
 
Nipo Meru nimeshapiga kura na nimepita naeneo ya Nkoaranga, poli pia nndatu na kilala. Nimefurahi kuona misururu mirefu ya vijana wa kike na wa kiume wakitimiza haki yao. Nimefurahishwa na muamko huu pia unatupa tafsiri ya Nassari kufanya vizur kuhamasisha vijana na inatupa imani kuwa chadema itazoa vijiji vya kutosha Meru. Pia mita mia chadema wapo wakilinda kura.
 
Huku wilayani Ludewa kata ya Lupingu! Ccm inapumulia mashine! Mh. Filikunjombe alitaka arubuni mgombea wa chadema kamanda Mawazo amegonga mwamba! Wananchi wamemwambia wanamuheshimu ila hawataki kuingiliwa ktk maamuzi! Kata ya lupingu Deo na chama chake wanapumulia mashine
 
Back
Top Bottom