Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Leo uchaguzi wa serikali za mitaa slaa yupo karatu na mbowe yupo ujerumani wote hao hawapigi kura alafu wana taka chadema ishinde kila siku mtabaki na ngonjera kuwa ccm imewaibia kura

....poleni sana na ka kisiwa chenu Arusha nzima UKAWA mwendo mdundo !!
 
Hapa wilayani mwanga kata ya lang'ata (dimbwi) kimeshanuka tayari kata nzima inanuka baruti ! Maccm yameshikiwa chin mapma asubuh yanataka kuvuruga uchaguzi!yamethibitiwa na vijana

Mwendo mdundo Kamanda vijana leo wamechangamka wanasema tumemnyonga ccm futa kabisa magamba wezi.
 
Hadi sasa naandika uzi huu vijiji vya salama kati,salama A,na kurusanga wananchi hajaanza kupiga KURA.
Tatizo ni kucheleweshwa kwa masanduku ya kupigia kura.
Ziko taarifa CCM wanafanya hujuma kuvuruga uchaguzi kwa maslahi yao binafsi kwani ushahidi wa mazingira unaonesha UKAWA wanaongoza KURA za MAONI kama ilivyo kwenye kata za MSOMA MJINI NA SERENGETI.
Nawaomba wananchi,serikali,tume ya uchaguzi pamoja na wadau wote wa amani na maendeleo ya taifa letu kupigia kelele na kukomesha hujuma zozote dhidi ya haki mahali popote kunakofanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Aidha kwa umhimu mkubwa niwasihi wananchi wa kata ya salama kuwa wavumilivu ili kuepusha machafuko kwani mpaka sasa kuna kila dalili za ukosefu wa utulivu wa kisiasa.

Mbona hivyo vijiji unavyoyaja viko karibu sana na Bunda mjini, hii kama ndivyo huko karukekele hali ikoje.
 
Bunda hakuna Uchaguzi Kata 6 hadi sasa. Kata ya mihingo vijiji 4. Kata ya Salama vijiji 3 Kata ya Kabasa vijiji 2 Kata ya Mcharo Vijiji 4 Kata ya kuzugu Vijiji 3 Kata Sazira Vijiji 3. Kata ya Nyamuswa Vijiji 2.

Nimefika Ofisi ya Mkurugenzi imefungwa. Watendaji wote Wako Ofisi ya DC wanapiga story. Wako pamoja Na viongozi wa CCM wa Wilaya.

Chomeni moto hiyo ofisi ya DC.
 
Hadi sasa naandika uzi huu vijiji vya salama kati,salama A,na kurusanga wananchi hajaanza kupiga KURA.
Tatizo ni kucheleweshwa kwa masanduku ya kupigia kura.
Ziko taarifa CCM wanafanya hujuma kuvuruga uchaguzi kwa maslahi yao binafsi kwani ushahidi wa mazingira unaonesha UKAWA wanaongoza KURA za MAONI kama ilivyo kwenye kata za MSOMA MJINI NA SERENGETI.
Nawaomba wananchi,serikali,tume ya uchaguzi pamoja na wadau wote wa amani na maendeleo ya taifa letu kupigia kelele na kukomesha hujuma zozote dhidi ya haki mahali popote kunakofanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Aidha kwa umhimu mkubwa niwasihi wananchi wa kata ya salama kuwa wavumilivu ili kuepusha machafuko kwani mpaka sasa kuna kila dalili za ukosefu wa utulivu wa kisiasa.

Mbona hivyo vijiji unavyoyaja viko karibu sana na Bunda mjini, hii kama ndivyo huko karukekele hali ikoje.
 
Mwendo mdundo Kamanda vijana leo wamechangamka wanasema tumemnyonga ccm futa kabisa magamba wezi.

Msije matumaini sana , usiku kucha CCM wamepita nyumba hadi nyumba wanagawa chumvi , dagaa na maharage.
 
Jamani magamba wameharisha uchaguzi manispaa ya ilala mpaka wiki ijayo badakuona hali mbaya

Mwaka 2004 uchaguzi wa serikali za mitaa DAR uliahirishwa. bado mamlaka husika hazijifunzi.!
Tatizo fedha ya kuendesha uchaguzi ni ndogo au kwa vile uchaguzi unaendeshwa na TAMISEMI badala ya Tume ya uchaguzi?!
 
Msije matumaini sana , usiku kucha CCM wamepita nyumba hadi nyumba wanagawa chumvi , dagaa na maharage.

Maharage na chumvi hata mimi wamenigawia lakini kwenye karatasi ya kura nimewanyongelea mbali wapuuzi hawaaaa
 
Kuna Mtaa wa Nyachijima Kasulu mjini, vifaa vimefika muda huu lkn jina la mgombea wa ACT nafasi ya mwenyekiti halimo kwenye karatasi ya kupigia kura, uchaguzi umesimama
 
Hadi sasa naandika uzi huu vijiji vya salama kati,salama A,na kurusanga wananchi hajaanza kupiga KURA.
Tatizo ni kucheleweshwa kwa masanduku ya kupigia kura.
Ziko taarifa CCM wanafanya hujuma kuvuruga uchaguzi kwa maslahi yao binafsi kwani ushahidi wa mazingira unaonesha UKAWA wanaongoza KURA za MAONI kama ilivyo kwenye kata za MSOMA MJINI NA SERENGETI.
Nawaomba wananchi,serikali,tume ya uchaguzi pamoja na wadau wote wa amani na maendeleo ya taifa letu kupigia kelele na kukomesha hujuma zozote dhidi ya haki mahali popote kunakofanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Aidha kwa umhimu mkubwa niwasihi wananchi wa kata ya salama kuwa wavumilivu ili kuepusha machafuko kwani mpaka sasa kuna kila dalili za ukosefu wa utulivu wa kisiasa.

Mbona hivyo vijiji unavyoyaja viko karibu sana na Bunda mjini, hii kama ndivyo huko karukekele hali ikoje.
 
uchaguzi wa m/kiti wa mtaa wa Gongolamboto kutokana na itilafu iliyotokea ktk karatasi za kupigia kura kutoa picha ya mgombea wa c.u.f. bakari shingo picha yake kwa chini inaonesha ni mgombea wa chadema wakati chadema awakusimamisha mgombea na makubaliano yaliafikiwa hasimamishwe ndugu SHINGO wa cuf kutokana kukubalika na wananch wa mtaa huo ili kumuondoa m/kiti aliyemaliza muda wake na mgombea wa ccm ndugu MOSHI MWALUKO wananchi nao wamegoma kipiga kura kutokana na hitilafu iyo wanaisi ni hujuma za ccm ili waendelee kutubuluza
 
...

Rombo kimenuka fujo zimeaanza baada ya vifaa vya kupigia kura kuchelewa kwenye vituo SOURCE sunrise Radio inasemekana ni vituo vingi sana mpaka sasa hawajaanza kupiga kura
 
Chadema wana hali mbaya sana Arusha kwasasa wa nawapa vibaka piwa walete fujo baada ya matokeo
 
Kituo cha Ali Maua A jirani kabisa na Kituo cha Polisi vurugu ni kubwa lakini polisi wanatazama. Makamu Mkiti Profesa Safari yuko pale tangu saa 3 asubuhi na nduguye mlemavu wa macho wameshindwa kupiga kura. Hali ni tete.
 
Leo uchaguzi wa serikali za mitaa slaa yupo karatu na mbowe yupo ujerumani wote hao hawapigi kura alafu wana taka chadema ishinde kila siku mtabaki na ngonjera kuwa ccm imewaibia kura

Mbona KIKWETE na yeye hapigi kura hilo haulizungumzii? kwani wakati uandikishaji unafanyika alikuwa kwenye TEZI DUME
 
Back
Top Bottom