Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Ulitakiwa tu kuhimiza watu kupiga kura lakini sio kufanya kampeni hapa siku ya leo. Nyie ndo mnavunja utaratibu mkishitakiwa ati mmeonewa. Shame on you.

Kahiyo ww hutaki kabisa watu wakumbushwe hayo madudu yenu,,,,,!
 
Mtaani kwetu msimamizi wa uchaguzi amesimamisha uchaguzi mpaka police waje
 

Attachments

  • 1418550022513.jpg
    1418550022513.jpg
    52.7 KB · Views: 388
Hadi mda huu saa saba kasoro vifaa havijafka kwenye vijiji vyenye upinzani,wapiga kura wameanza kurudi makwao,NCHAMBI AMEKESHA AKITOA HONGO KWA WANAZENGO WA KISHAPU
 
Willy Singo kitongoji cha Bondeni Kyela Mjini CCM anaelekea kushinda akifaidika na low turnout ya wapiga kura!
 
Akiongea live kupitia Channel 10 muda mfupi uliopita,mkuu wa wilaya Kilindi, amesema eti na hapa namnukuu,"kwa bahati nzuri hapa CCM imepita bila kupingwa".

Kilichotokea inaonekana kuwa ni CCM imepita bila kupingwa katika vitongoji vyote wilayani humo na mkuu huyo wa wilaya katangaza matokeo kitu kilichomshangaza mtangazaji na kumuuliza kama ni sahihi kwa yeye kutangaza matokeo kama ilivyoripotiwa na akajibu kuwa matokeo rasimi yatatangazwa saa 10:15 jioni ya leo.



Swali,kauli hii ya mkuu wa wilaya ni sahihi?Je,ingekuwa ni CHADEMA wamepita bila kupingwa,kwa mfano,angetoa kauli kama hiyo?
 
Huo ndio mpango walioupanga, wahamasisheni wapiga kura wasiochoke, wasiondoke ,wasikate tamaa, wakabe mpaka kieleweke, ni maeneo mengi sana mbinu hiyo imetumika kuchelewesha vifaa au kuchanganya majina na nembo za chama.
Walaaniwe maccm wote
 
Hivi kitendo cha majina ya wapiga kura kubandikwa yakiwa handwrite tena copy iliyopitishwa kwa carbon kwenye makaratasi inamaanisha nini???Hadi hapo jibu sijapata majibu nimeishia kujiuliza maswali yafuatayo:-may be.........
1**serikali imefilia
2**mchongo umefanyika ili kufelisha wagombea wa vyama vingine
3**hapakuwepo na bajeti ya paper typing
4**waandikishaji wametafuna pesa
5**#####
kwa mwendo huu TZ hatuwezi kuendelea sijui afta 2015 lakini kusamakweli hicho ndicho nilichojionea TR 14/12/2014.

*****contact####

E-mail johnmohammedjs@gmail.com
au
johnmohammedjs@yahoo.com
whatsapp +255689125661
facebook :john mohammed
twitter😡johnmohammedjs
instagram:johnmohammedjs
tovuti:johnsalim1994.blogspot.com
 
Huyu amevimbiwa sifa, hana akili na atajutia kauli yake maana chochote kitakachotokea kisheria atakuwa ameingilia kazi na madaraka ya wahusika. hapo kachemka asishangae uchaguzi ukirudiwa.
 
Nafikiri ana MTINDIO WA UBONGO. Mwanzo alisema 'kwa bahat mbaya'
then akasema 'kwa bahat nzuri'

AIBU TUPU CCM.
 
Kata ya Mtindiro wilaya ya Muheza masanduku ya kura na karatasi za kura mpaka sasa havijafika vituoni.
 
Kimewaka huku vingunguti mtaa wa mtambani polisi na wapiga kura...

Nimewaona wengi wa kufa mtu wanaimba "ccm wezi wa kura" ,na kusema kweli nawashauri ccm wakubali enzi zao zimekwisha nchi nzima watu wanatema nyongo na kuendelea kuweka uhuni kwenye zoezi hili ni ccm kulazimishwa kuondoka hata pasipo kuvaa nguo ..watu hawawataki tena ccm na wako tayari kuwaadhibu kwa style yoyote ile itakavyowezekana
 
Kata ya Mtindiro wilaya ya Muheza masanduku ya kura na karatasi za kura mpaka sasa havijafika vituoni.


Poleni sana makamanda, Njia ya kuidai na kuipata haki ni nyembamba sana na vizingiti ni vingi.

Endeleeni kuvumilia maana, siku zote hila hushindwa kwa uvumilivu na zaidi kuwa wabunifu, hii ni vita dhidi ya ufisadi na rushwa.
 
Back
Top Bottom