Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

Na nyie RAIA mmekuwa dhaifu sana, mtu anatoa rushwa mnamwangalia tu? Huyo alikuwa Wa kuchoma moto kabisa, hana tofauti na vibaka mnaowatia kiberiti mkidai nyie ni raia wenye hasira kali au kama ni m-mama mngemgegeda hadharani!! Mkuu mmeonesha udhaifu mkubwa kabisa!!

Asipigwe mchezo alikumbilia msikiti wa Majengo
 
Watanzani Tunashida Nyingi,twendeni LEO Tukakivunje Kibuyu Cha Babu.Jini La Escrow Itatumariza.Walimu Mnalazimishwa Kuchangia Maabara Huku Pesa Za Escro Wanakula Peke Yao,mishahara,madaraja,yote Ni Kero,mnalazimishwa Kuchangia Maabara Watumishi Wa Kada Zingine Hawachangii Kwa Kulazimishwa, Madaktari Na Manesi Lini Wamelazimishwa Kuchangia Ujenzi Au Ununuzi Wa Madawa Kwenye Zahanati?WAENDESHA BODABODA Mrijiari Leo Mmezuiliwa Mjini Kwenye Wateja Wengi,au Mmesahau? WAFUGAJI mifugo yenu imekuwa ikipigwa mnada ili ipatikane pesa ya maabara.MAMA NTILIE NA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO mmesahau jinsi vyakula na bidhaa zenu zinavyoporwa na mgambo wa jiji? LEO MSIFANYE MAKOSA. NENDENI MAPEMA KABISA KABLA FOLENI KUWA KUBWA AU KUPATA UDHURU.MKOKOTE MGONJWA MPELE AKAPIGE KULA WATAMPISHA WAUNGWANA ATAPIGA KURA. narudia leo tusifanye makosa. ESCROW ITATUMARIZA.

Ulitakiwa tu kuhimiza watu kupiga kura lakini sio kufanya kampeni hapa siku ya leo. Nyie ndo mnavunja utaratibu mkishitakiwa ati mmeonewa. Shame on you.
 
Wakuu kumekucha,pande zote za nchi watz wanajiandaa kupiga kura kuchagua viongozi wao wa serikali za mitaa.Kama ilivyo ada JF itakuwa ikikujuza yanayojiri,katika uzi huu utapata/utaleta updates zinazohusiana na uchaguzi huu.Karibuni sana

hapa muheza vituo vingi vilkosa vifaa vya kupigia kura. hivyo baada ya kufunguliwa hii asubuhi itabidi wapiga kura wasubiri.
 
Wakuu kumekucha,pande zote za nchi watz wanajiandaa kupiga kura kuchagua viongozi wao wa serikali za mitaa.Kama ilivyo ada JF itakuwa ikikujuza yanayojiri,katika uzi huu utapata/utaleta updates zinazohusiana na uchaguzi huu.Karibuni sana

hapa wilayani kwetu mkurugenzi anawatumia watendaji kuchakachua kura. ametoa onyo kwamba kama kuna mpinzani atapita katika kata yake, mtendaji wa kata hiyo aandike barua ya kuacha kazi.
 
hapa wilayani kwetu mkurugenzi anawatumia watendaji kuchakachua kura. ametoa onyo kwamba kama kuna mpinzani atapita katika kata yake, mtendaji wa kata hiyo aandike barua ya kuacha kazi.

C:C MwanaDiwani, MSALANI.... Hii inasikitisha Kama haya yasemwayo yana ukweli
 
Last edited by a moderator:
mtaa wa Migungani , sokon one, arusha mjini sisi tunasubiria kusherekea ushindi tu kisha wiki inayofuata tuwaburuze mahakamani mwenyekiti wa ccm aliyepita na wajumbe wake kwa kutowai kusoma mapato na matumizi ya mtaa na pia kujivutia bomba la mtaa kwake na kuuza maji pasipo serikali ya mtaa kupata mapato

funga hao wezi ili liwe fundisho kwa wengine.
 
Ccm imeshapata ushindi wa mapemaaaaa. Ukawa walie tu
 
kwenye sehemu ya ku-compose ujumbe juu kuna sehemu ya ku-attach photo,video.fanya ivo.btw ni waziri gani

Natumia simu, inaleta option ya picha tu
Hivi ni picha ya baadhi ya vitu alivodondosha, akikimbilia msikitini, ikiwepo wallet na samsung galaxy
 

Attachments

  • 1418530445499.jpg
    1418530445499.jpg
    80.6 KB · Views: 1,402
Huku Kanda ya ziwa wanapumulia mashine kila kona, nawasihi subirini matokeo tu.
 
Mimi nimekereka... nilidhani tutaanza kupiga kura saa moja nikaendelee na ratiba zingine.

Kumbe hadi saa mbili...
 
Huku Kyela CCM inapumulia mashine!!
 
Huku kwetu kilindi hatufanyi uchaguzi maana ccm imepita bila kupingwa wilaya nzima
 
mm niko hapa geita watu wamejitokeza kwa wingi sana hasa vijana tumeanza na mungu tunamaliza na mungu.
 
Siasa za upinzani zinanishangaza sana kiukweli. Ukiwa unashinda hapa Jf nakusoma yanayoendelea juu ya kuchukiwa CCM utadhani uchaguzi ukiitishwa kesho hakuna tena CCM. Lakini ukipita huko mtaani watanzania hawana wanachojua zaidi ya CCM. Nimepita sehemu majuzi nikiwa tanga mjini watu/wanawake ndio wanajadiliana wanasema nasikia kuna chama kipya chaitwa UKAWA kimeunganisha CUF na CDM. Sasa huyu akienda kwenye sanduku la kura asipoikuta UKAWA ataichagua nini kama si CCM?
 
Back
Top Bottom