Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Chilisosi na mitumba yako utafunika zaidi ya hapo?
 
Last edited by a moderator:
unajua unajifanya hujui? Kusingekuwa na demokrasia ungekuwa unajamba hovyo humu Jf

Acha wenge thatha thijui nithemeje,thithi wengine huwa hatujambagi tunashuta hatha ukithingatia vyakula vyenyewe havina viwango.,Au ww haujuagi mambo ya tibiethi kuachia vitu vibovu???Hayo mayai feki ya kichina na wale thamaki ukila unajamba au unashuta???Kwani hiyo halufu unaithikiaje?
 
Hapo hakuna cha DIAMOND wala TMK. MAkamanda wanajichanganya wenyeeeewe. KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA. Magamba mpooo.
 
Ni ngumu mtu kuweza kuchangia pesa chama halafu asipige kura! Kwa maana nyingie hizo 900,000 ni kura nyingi sana.

Yaani hata waliokuwa hawana hela walgusa tu masandku ya pesa ili kubarik harakati,pia kuna fomu maalumu wananchi walkuwa wanatia saini zao kubariki wabunge wa chadema waendelee kugomea maamuz yote mabov ya kiti cha spika zidi ya wabunge wa upnzani! Wananchi wameunganisha ngv zao kupgania taifa lao lnalozidi kupotezwa na mafisadi
 
Ahsante sana kwa mtiririko wa habari kwa kweli wananchi wameamua bila shuruti wamejaza uwanja
attachment.php
Kile kikundi cha watu morogoro kilipewa viti, hivyo, kikaonekana kakundi kakubwa.Wasingepewa viti wakae wasingejaa kwenye kiganja. Chunguza picha za mkutano wa Nape na Kinana pale morogoro utaona na utagundua janja ya nyani. CCM wanaweza kufanyiana usanii hata wenyewe kwa wenyewe.
 
wow.thats great...kwel ukomboz umekaribia....Thanks for updats and pics
 
Nimeipenda simplicity ya Chadema. Hapo Diamond akija ata perform wapi?

Yaani CCM wanadharau sana badala ya kuwaeleza Wananchi kuwa wataatatuaje matatizo yetu wao wanatuletea muziki tena kwa kodi zetu!!! Hii ni Bharat mkubwa kwa Wananchi na duniani ipo makini Bongo tu!!!
 
Ndugai atajuta ni kwa nini aliwatoa bungeni kibabe wabunge wa CHADEMA
 
Inabidi ujikane mkuu uwe kichaa kama mwenyekiti wa uvi-magamba uvae manguo ya kijani then utoke mapuvu sana kuisema chadema hakika hata u dc hutakosa....teh tehe teheeee

Maneno yako yana nipa hamasa sana...Ila kwakuwa nitakuwa nimepata najisi kutokana na kuvaa nguo za kijani na njano itabidi nitafute msaada wa Maombi ya deliverence kuondoa najisi hiyo...
 
Huwa nafurahishwa sana na matokeo ya wabunge wa CHADEMA mara wanapofukuzwa bungeni.
 
Back
Top Bottom