WAELEZENI WANANCHI NI KWA NINI HATUTOKI TULIPO NANI MHUSIKA WA HIZI KERO.
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA/MADAKTARI HAKUNA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi na kuishia
barabarani.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond n.k
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili.
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU HASA MAWAZIRI ONLY 10% NDO WANAWAJIBIKA WENGINE ni ponda
mali kufa kwaja.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOT n.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi za waliokabidhiwa.
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.54-64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU na maghala ya mafisadi.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA na BUNGE.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona HIVYO KUWANYIMA HAKI WANANCHI.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO Maji AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO Wanyama KUTOROSHWA.n.k
17.DENI LA TAIFA LINAKUWA KILA SIKU???!!!