ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
Magamba ni sawa na tundu la choo ulifungie AC,hayo huko hayawez kukusaidia kwa sababu ni ya kitakatifu yale ya Serukamba ya ushetani ndo asili yenu,subiria tamasha lenu la matusiMkuu yanayoengelewa mbona hayana msaada kwetu sisi wananchi hizo ni porojo kama wanazofanya bungeni