Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

kwenye sanduku la kura mnachakachua bwana, ccm kushinda bila rushwa ni ngumu!

siku izi zinatafunwa mpaka mgombea wao alieshindwa anaishia kudaiwa na kuweka Rehani Nyumba..wengi tumewaona ndo maana Ukimshauri mtu Agombee kupitia Magamba Anaogopa.
 
Kamanda Mtoi Ubarikiwe sana Tupiamo maphoto :rockon:

Hahaha raha sana du nyomi ya kufa mtu, pia nimefurahi kuona hawa policcm wakisiliza sera za chadema...hahaha mapoliccm wa watu sera zinawaingia na virungu vyao..eeh chadema okoeni hao policcm wawe police wa raia wote sio kwa kuibeba ccm.
 
Ukiwngalia
mahudhurio ya mikutano ya ccm unaweza kudhani wananchi wamechoka siasa,
kumbe ccm ndo wamechokwa.

mkuu, hawa cdm wana maeneo yao tu. huko iringa hawatakiwi ndo maana wameenda wote kumnusuru msigwa maana wanajua 2015 hana chake iringa. kama wana uwezo hiyo mikutano waifanye huku mtwara au lindi ndo tutawaona wana nguvu
 
Huo sio mkutano wa chadema chadema ni mtei,mbowe na slaa wengine wafagiaji tu upo hapo.

sawa na ccm ya Wanabagamoyo Jk,RIZ,MAMA SALMA,makamba senior,makamba january,EMANUEL Nchimbi,JOHN NCHIMBI,MAGRETH NCHIMBI,MWINYI,HUSSEIN MWINYI,ABDALAH MWINYI,AISHA KIGODG,ABDALAH KIGODA ..ndo chama cha ukoo,ongeza wengine.
 
Hongereni ila next time mtafute Jukwaa zuri kidogo linaloendana na hadhi ya KUB.
 
82 members and 835 guest r browsing this thread........jiungeni tu jmn na JF acheni kuchungulia, kwani sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm tu
 
mkuu, hawa cdm wana maeneo yao tu. huko iringa hawatakiwi ndo maana wameenda wote kumnusuru msigwa maana wanajua 2015 hana chake iringa. kama wana uwezo hiyo mikutano waifanye huku mtwara au lindi ndo tutawaona wana nguvu
kama hawatakiwi, hao watu wamekuja kufanya nini? Usiwafanye watanzania wajinga!
 
Chadema na Mungu wake wauaji na Ibilisi wao.

Mungu wa CHADEMA ni yupi katika hawa?

1) Brahma, Vishnu na Shiva

2) Yehova

3) Allah

4) Ng'ombe

5) Jesus

6) list continues....
 
Mungu wa CHADEMA ni yupi katika hawa?

1) Brahma, Vishnu na Shiva

2) Yehova

3) Allah

4) Ng'ombe

5) Jesus

6) list continues....

Maharamia na Ibilisi wao Chadema na Mungu wake
 
Back
Top Bottom