Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Chama makini tarajio kubwa la watanzania.Waache CCM MAGAMBA waendelee na fiesta lao na kina DIMOND LINNAH TMK WANAUME kama waimbaji then wacheza shoo NEPI NA KINANA mzee wa tembo na Seif.
 
mkuu ni kweli nilikuwepo pale wakati mnyika wenje raisi mawalajiwa sugu msigwa wakieleza ukweli kuonyesha kuungwa mkono na wananchi wa iringa walichangiwa papohapo sh 900,000 magamba kunyweni sumu tu la sivyo njoon cdm
Yeah, kesho ni MBEYA, itakuwa ni noma zaidi ya IRINGA, stay tuned.
 
Mkuu Kasano, nimeipenda sana brief yako imetupa hali halisi ya kilichotokea iringa leo, thanx
 
There are currently 1646 users browsing this thread. (84 members and 1562 guests)

Amini nakuambia! Hapo penye GUEST 1562 mpaka Msafiri yupo anafuatilia, achilia mbali yule ndege mwanana ambaye ANA MAKINDA lakini hawezi kupaa na kutokea kwenye mtego wa TUNDU.
 
Nilichoshuhudia leo mjini Iringa sijapata kuona tangu kuzaliwa kwangu. Nacho ni maerefu ya watu waliojitokeza katika mkutano wa CHADEMA kwenye viwanja vya Mwembetogwa. Yaani walikuwepo wananchi sijapata kuona.Ofisi zimefungwa, maduka yamefungwa, madarasa yameahirishwa kwa muda ili kisikiliza hoja zilizokuwa zinamwagwa na wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa bungeni hivi majuzi; Mh.Wenje, Msigwa, Sugu, Kiwia wakiongozwa na katibu mkuu Dr.Slaa.Mh.Lissu na Lema hawakuwepo kutokana na michakaliko ya kesi iliyokuwa imefunguliwa mahama ya rufaa na makada wa ccm kupinga Mh.Lema kurejeshewa ubunge hata hivyo bado Mh.Lema aliwabwaga tena.

Kikubwa kilichonivutia katika mkutano huu ni uungwana, ustaarabu wa kujenga hoja, sikuona matusi wala mtu akimsukuma mwenziwe kila mmoja alikuwa busy kusikiliza ni nini kinazungumzwa.

Masuala ya mabadiliko ya katiba mpya, mwenendo mbovu wa bunge ukichochewa na kiti cha spika, elimu mbovu, ugumu wa maisha, kesi za kubambikiziwa, matumizi mabaya ya raslimali za nchi, viongozi wasiowaadilifu, unyanyasaji vyote hivi vimejadiliwa kwa ufasaha na umakini mkubwa. Dr.Slaa amewataka wananchi kukipa CHADEMA ushindi katika chaguzi za 2014 na 2015 ili kuleta ukombozi wa kweli kwa manufaa yao wananchi.

Katika mkutano huo Dr.Slaa amewaomba wananchi waweze kuwawezesha wabunge hao ili kupata mafuta ya kuendelea na mikutano maeneo mengine ya Mbeya, Singida kwa Mwigulu na maeneo mengine ambapo mwenye 50, 100, 200 na chochote ameombwa kusaidia na akaenda mbali kuwa ambaye hana fedha basi atoe sala yake kuwaombea wabunge na chama kwa ujumla ili kiendee kuwa na mafaniko. Mara baada ya michango hiyo zilipatikana zaidi ya laki tisa (900,000) kwa muda wa nusu saa kukusanya mia mia.Wananchi wameshangilia sana kupatikana kwa kiasi hicho ikizingatiwa ni jambo ambalo hawakulitegema na laiti wangetaarifiwa mapema sijui ni milioni ngapi zingepatikana. KUMBE WATU WANAHITAJI UKOMBOZI.
 
Wajinga ndio waliwao,ndio maana Mzee Sabodo kachoka kutoa hela tena Chadema,sasa hao mazuzu wa iringa wanachanga chama ambacho hata ofsi ya makao makuu hakina
 
Mkuu ina maana weka mbali na Tembo akichukua wabunge wake wa ccm mfano Idd Azan,Victor Kawawa John Komba na Moo hawawezi kujaza uwanja hivyo kweli??????
 
Nilichoshuhudia leo mjini Iringa sijapata kuona tangu kuzaliwa kwangu. Nacho ni maerefu ya watu waliojitokeza katika mkutano wa CHADEMA kwenye viwanja vya Mwembetogwa. Yaani walikuwepo wananchi sijapata kuona.Ofisi zimefungwa, maduka yamefungwa, madarasa yameahirishwa kwa muda ili kisikiliza hoja zilizokuwa zinamwagwa na wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa bungeni hivi majuzi; Mh.Wenje, Msigwa, Sugu, Kiwia wakiongozwa na katibu mkuu Dr.Slaa.Mh.Lissu na Lema hawakuwepo kutokana na michakaliko ya kesi iliyokuwa imefunguliwa mahama ya rufaa na makada wa ccm kupinga Mh.Lema kurejeshewa ubunge hata hivyo bado Mh.Lema aliwabwaga tena.

Kikubwa kilichonivutia katika mkutano huu ni uungwana, ustaarabu wa kujenga hoja, sikuona matusi wala mtu akimsukuma mwenziwe kila mmoja alikuwa busy kusikiliza ni nini kinazungumzwa.

Masuala ya mabadiliko ya katiba mpya, mwenendo mbovu wa bunge ukichochewa na kiti cha spika, elimu mbovu, ugumu wa maisha, kesi za kubambikiziwa, matumizi mabaya ya raslimali za nchi, viongozi wasiowaadilifu, unyanyasaji vyote hivi vimejadiliwa kwa ufasaha na umakini mkubwa. Dr.Slaa amewataka wananchi kukipa CHADEMA ushindi katika chaguzi za 2014 na 2015 ili kuleta ukombozi wa kweli kwa manufaa yao wananchi.

Katika mkutano huo Dr.Slaa amewaomba wananchi waweze kuwawezesha wabunge hao ili kupata mafuta ya kuendelea na mikutano maeneo mengine ya Mbeya, Singida kwa Mwigulu na maeneo mengine ambapo mwenye 50, 100, 200 na chochote ameombwa kusaidia na akaenda mbali kuwa ambaye hana fedha basi atoe sala yake kuwaombea wabunge na chama kwa ujumla ili kiendee kuwa na mafaniko. Mara baada ya michango hiyo zilipatikana zaidi ya laki tisa (900,000) kwa muda wa nusu saa kukusanya mia mia.Wananchi wameshangilia sana kupatikana kwa kiasi hicho ikizingatiwa ni jambo ambalo hawakulitegema na laiti wangetaarifiwa mapema sijui ni milioni ngapi zingepatikana. KUMBE WATU WANAHITAJI UKOMBOZI.
Ufisadi mwingine wa dr slaa huo
 
Ahsante sana kwa mtiririko wa habari kwa kweli wananchi wameamua bila shuruti wamejaza uwanja
attachment.php
 
ukombozi lazima hakuna kulala mpaka kieleweke,oh Rev Msigwa hakubaliki leo kelele zote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wee vipi tena
Mbona unatokwa povu?

Chris ukisema ww ndiyo mm nita amini na labda hizi picha zinazo onyesha watu wengi hivi CHADEMA wamechakachua!!

Kuwa mkweli;Je ni kweli CHADEMA ilipata watu wengi kiasi hiki cha kutisha kama picha hizi zinavyo onyesha?Au kuna uchakachachauji?
 
Wananchi na umaskini wao wameibiwa sh 900 ,,000!! Wachaga kwa shilingi nouuma
 
Saa ya ukombozi imewadia, minyororo ya makupe, mafisadi inayeyuka.
 
Back
Top Bottom