Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Aisee kama Msigwa anao ushahidi usio na mashaka na traceable alipue hilo bomu bungeni. Wezi wa laundry machine na ambao magari yao yamepatikana na nyara za serikali lazima watiwe katika mikono ya sheria.

BADO CHADEMA MNAFANYA VIZURI KATIKA MIKUTANO. This sends clear message to Nape and Kinana
 
Hilo kusanyiko lote.......halafu hapakuwa na wasanii kama Diamond........ hawakuvaa t-shirts........na wala hawakuletwa kwa malori.........HAKIKA CHADAMA KIMO MIOYONI MWA WATZ!
 
Mimi leo usiku nimeota Adulrahamani Kinana ambaye ni katibu mkuu au mtendaji mkuu wa ccm anakwapua pembe za ndovu akitumia kampuni yake. Sasa sijui kama Msigwa naye alimaanisha Kinana au La. Ni ndoto tu lakini.
 
hawezi kosa na vile ana iphone5 na ipad3 kwa ajiri ya mitandao ya kijamii atakosaje
 
Kweli pesa haidanganyi, Mh. Msigwa sura imetakata na amekuwa body builder.[/QUOT
Nchi yako inatafunwa na wajanja we unasifia uzuri wa mwanaume mwenzio. Aiseee!!!


Sent from my EyePhone
 
an open secret,.ni kinana ndiye anayeua tembo na kuwang'oa meno na kuyauza na kukichangia chama cha mafisadi hizo hela na kumlipa fadhila ya ukatibu mkuu kwa kuonyesha ujasiri mkubwa wa kumng'oa mnyama mkubwa kuliko wote meno yake!!!
 
Mimi sijaoteshwa ila kutokana na ushahidi wa Hongkong Kinana anakusika moja kwa moja....anashirikiana na wauaji wa tembo wetu!mikono yake si misafi!ni mchafu
 
kadri mda unavyozidi kwenda sumu inakuisha mdomoni....tuendelee
 
Mimi siendi kuchangisha watu hela,
Kama watu wanashida na unatakiwa uwasaidie usiende kuwaomba hela toa hela na kama ni mafuta na una uchungu na ukali wa maisha basi usitumie gari lenye engine kubwa kama la msigwa

Hebu jaribu kufuatilia kwa nini Dole sytem ilifail kwenye nchi uliyoko miaka ya Karne ya 18....utakuwa na matatizo ya akili kuamini katika kugawa pesa...
Nadhani huelewi watu kwa nini ni maskini kama mwenyekiti wa chama chako...hii ni moja ya njia ya kuwafanya watu maskini zaidi (kugawa pesa)...
Utaelewa kwa nini Masiah alimsifu yule mjane aliyetoa kidogo alichonacho..
Unaenda kumlipa msanii 10mil mbele ya jamii maskini!
 
Tukubaliane jamani, Chadema ni tishio kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi na Serikali tawala, hilo halina ubishi.
Tunachotaka ni kupata Chama na Serikali makini itakayowatumikia vyema Watanzania wote.

Kwa vuguvugu hili la Chadema, CCM inatakiwa kuamka na kuwafanyia watanzania yale yaliyo ndani ya ilani ya chama na kukisafisha chama mara moja. Na ingekuwa hekima zaidi kwa CCM kusikiliza kero za watanzania na kuzitatua.

Jambo kubwa linalofurahisha ni kuona CCM imepata viongozi wa juu walio wazuri na werevu, wenye uwezo wa kujieleza na kujipambanua mbele ya watanzania.

Tatizo lililomo ndani ya CCM na ambalo linachangia sana kuchukiwa na watanzania ni Ufisadi, likitatuliwa hili na kuwaweka pembeni wale walio na tuhuma za ufisadi nina uhakika 1000000% CCM itatawala Tanzania mpaka siku ya mwisho wa dunia.

Naona unajifariji, wewe ni sawa na Mgonjwa ambaye amabakiza Masaa kadhaa kabla ya Kukata Roho and then unaanza kupanda Mipango ya Miaka 10 ijayo wakati yeye ambekiza masaa
 
Jamani kinana hacha hayo mambo wengine tunategemea utali.Sasa tembo wakiisha tutakwenda wapi?Hao uliyo wa restisha in peace wanatosha.
 
Mimi siendi kuchangisha watu hela,
Kama watu wanashida na unatakiwa uwasaidie usiende kuwaomba hela toa hela na kama ni mafuta na una uchungu na ukali wa maisha basi usitumie gari lenye engine kubwa kama la msigwa

Mbona wfanyakazi wa Tanzania wanashida sana lakini CCM inatumia fedha za Michango yao ya hifadhi ya jamii kufanyia kampni? CCM huchukua fedha NSSF na PPF kwenda kufanyia kampeni, sasa hebu tujuze hapa,
 
Mimi leo usiku nimeota Adulrahamani Kinana ambaye ni katibu mkuu au mtendaji mkuu wa ccm anakwapua pembe za ndovu akitumia kampuni yake. Sasa sijui kama Msigwa naye alimaanisha Kinana au La. Ni ndoto tu lakini.
Siyo ndoto sema tlata ako aweda.
 
Hakika hii ni dhambi kubwa, unawaibia wa Tz kwa kuuza rasilimali zao na kisha unachangia kwenye chama chao nao wanakuona unafaa wanakupatia madaraka. Nyerere fufuka uone maajabu yanayoendelea TZ.
 
Chama cha Kskazin sio... duh Iringa nako kuna lile kabila la wenyechama lol.... waache tu CCM na Mikakati yao mibovu.. kura zitapigwa ki digitali wajiandae kuchomoka.... ...
 
Back
Top Bottom