Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

kitu imetulia pasipo chenga, nape aweke za kwao na kinana waone hata kama kwa robo ya hao waliotinga hapo Iringa.

Hongera makamanda
 
Kaka unauliza nyomi kwa Chadema?! Kama kawaida kama ilivyo ada.

aminia mgoc mtoi. thanks for the updates. mpaka kieleweke hii migamba sasa inaweweseka tu. mpaka vikao vya cabinet vinaijadili CDM ujue wako hoi. CDM sasa ni kushikamana sana. propaganda zao tumezishinda moja baada ya nyingine. daima tutakuwa na ALLAH na twamuomba sana atuongoze hadi kwenye full ukombozi dhidi ya madhalimu haya magamba.
 
Maharamia na Ibilisi wao Chadema na Mungu wake

Ndio maana wenye akili zao wanajua CHADEMA haiwezi kusimama peke yake bila kuegemea katika muhimili wa dini.

Takwimu za matokeo ya 2010 zinaonyesha a big jump ya wabunge by 336% kutoka 2005! What a propaganda.

Ila hii sera ina mwisho wake wake ambao huenda usiwe mzuri.

Practice politics, dini tuwaachie wenyewe!
 
m23 vp ile ishu yako na yule dereva imefikia wapi? Kesho ntakutafuta ktk ile mitaa nikufanyie Suprise kuwa nakufahamu...wewe ni chadema pure sema upo ktk ajira lumumba
 
ki8 yupo anaweweseka... Maana sasa amegeuka katibu mwenezi wa CHADEMA.

Ni kweli mkuu ndio maana Mnyika amemwambia asome vizuri katiba ya chadema ili anapoinadi ainadi vema pasipo makosa. Jamaa wana hali mbaya balaa, nadhani wakiona hiyo nyomi ya Iringa na bado nyingine ya Mbeya nadhani kesho lawama zote zitaishia kwa ndugai na makinda wake.
 
Kamanda Mtoi Ubarikiwe sana Tupiamo maphoto :rockon:

Hahaha raha sana du nyomi ya kufa mtu, pia nimefurahi kuona hawa policcm wakisiliza sera za chadema...hahaha mapoliccm wa watu sera zinawaingia na virungu vyao..eeh chadema okoeni hao policcm wawe police wa raia wote sio kwa kuibeba ccm.
 
Ndio maana wenye akili zao wanajua CHADEMA haiwezi kusimama peke yake bila kuegemea katika muhimili wa dini.

Takwimu za matokeo ya 2010 zinaonyesha a big jump ya wabunge by 336% kutoka 2005! What a propaganda.

Ila hii sera ina mwisho wake wake ambao huenda usiwe mzuri.

Practice politics, dini tuwaachie wenyewe!

Tanzania Yatajwa kuwa KINARA wa Umaskini Afrika Mashariki...
 
Ndo akili zenu zinawatuma mkiona watu wengi mnaona mmeshinda

Isingekuwa hivyo ma-daimond na mashoo tangu enzi za kale ya akina Jk(komba) ya niniii???😛layball::bounce::bounce:😛layball:
 
mkuu, hawa cdm wana maeneo yao tu. huko iringa hawatakiwi ndo maana wameenda wote kumnusuru msigwa maana wanajua 2015 hana chake iringa. kama wana uwezo hiyo mikutano waifanye huku mtwara au lindi ndo tutawaona wana nguvu

subiria uzinduzi wa kanda ya kusini..
 
Ni kweli mkuu ndio maana Mnyika amemwambia asome vizuri katiba ya chadema ili anapoinadi ainadi vema pasipo makosa. Jamaa wana hali mbaya balaa, nadhani wakiona hiyo nyomi ya Iringa na bado nyingine ya Mbeya nadhani kesho lawama zote zitaishia kwa ndugai na makinda wake.

hahaha... hapo sasa. Viva CHADEMA. Viva Makamanda wote.
 
Back
Top Bottom