haa mkuu,kama anavyofanya wasira na nape kumlamba miguu jk?ZITTO amesemaje, mbona sioni mchango wake coz mimi yule ndo namuona jembe wengine hawa wanawalamba viatu Slaa na Mbowe.
Nimeanza kushawishika maandamano na mikutano nayo ni sehemu ya uchafuzi wa mazingira.
acha uongo ka vp nipigie .nauhakika we upo dar na haunifahamu na mm nipo nje na muda sasa
Ccm ni baba yenu wa demokrasia whether u like or not
Nimeanza kushawishika maandamano na mikutano nayo ni sehemu ya uchafuzi wa mazingira.
Nani huyo?Chilisosi kasema anarudi june kuwaletea mitumba wapiga kura wa lringa sijui atajaza hivi?
Ilikuchukua muda gani kuingiwa na sera ya ukombozi ukaitafakari,ukainyenyekea,kuipenda na kuizoea?jikaze itakuingia tu sera ya ukombozi dhidi ya Mkoloni MWEUSI,...
Heri yao nini? Kulalamika kwa wananchi badala ya kuwaambia nini watawafanyia?Ni heri ya CHADEMA kuliko MacCM kuwasulubu watoto wa Shule za Msingi na sekondari kuandaa Gwaride kwa ajili ya ki8 na nape hiyo imekaa sawa?
Hujui kama alimaliza? Sasa unauliza ili iweje, hapa tunataka facts kama Bean aonekana na sumu baa, Mbowe alifeli kidato cha nne, Slaa kaiba mke wa mtu , Mabere marando kamwacha mke wa kwanza na kuoa kabinti kanakolingana na mjuu kwake na zingine kama hizo, facts zilizonfanyiwa utafiti siyo kuanza kuuliza subject maswali , hayo ni majungum23 ulimalizaga kile chuo?
Okoa tanzania_
operesheni ondoa ccm
2013-2015.
unafikiri ukiwaita watu kenge ukweli utajitenga? Mkuu NGuvu aliyokuwa nayo mrema huwezi kulinganisha na hii ya chama cha wachagga, kile kilikuwa chama kilichosheheni watu kona zote za TAnzania.mrema alikuwepo 1995 siyo leo kenge wewe!
unajua unajifanya hujui? Kusingekuwa na demokrasia ungekuwa unajamba hovyo humu JfDemokrasia kutoka moyoni au mdomoni???