Chacha Wangwe, Zitto Kabwe na Mzee Sumaye walijaribu kumng'atua Mbowe kidemokrasia ikashindika a, Nani ataweza hawa waliobaki?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Huu ni Mwaka wa Uchaguzi kwa Chadema na Katiba ya chama inampa haki Mwenyekiti wa sasa kugombea tena

Nani ana ubavu wa kupambana na Freeman Mbowe kidemokrasia Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki?

Binafsi simuoni yoyote mwenye Uthubutu huo kwa hawa wanachama wa sasa wa Chadema

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸŒŸ
 
Unahangaika sana,ebu tulia punguza chuki.
 
Huu ni Mwaka wa Uchaguzi kwa Chadema na Katiba ya chama inampa haki Mwenyekiti wa sasa kugombea tena

Nani ana ubavu wa kupambana na Freeman Mbowe kidemokrasia Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki?

Binafsi simuoni yoyote mwenye Uthubutu huo kwa hawa wanachama wa sasa wa Chadema

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸŒŸ
Sumaye SUMU haionjwiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haonekani kabisa za chini ya kapeti inasemekana lissu alitaka kujaribu akaambiwa akatumwa mzee mwenye hekima amuulize achague anataka kuzikwa ubelgiji au singida nae kapunguza mapepe!
 
Huu ni Mwaka wa Uchaguzi kwa Chadema na Katiba ya chama inampa haki Mwenyekiti wa sasa kugombea tena

Nani ana ubavu wa kupambana na Freeman Mbowe kidemokrasia Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki?

Binafsi simuoni yoyote mwenye Uthubutu huo kwa hawa wanachama wa sasa wa Chadema

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸŒŸ
Chawa wenzako kila siku wanateuliwa huko wewe unatikisa tu kalioh JF na mada za Mbowe!!
 
Huu ni Mwaka wa Uchaguzi kwa Chadema na Katiba ya chama inampa haki Mwenyekiti wa sasa kugombea tena

Nani ana ubavu wa kupambana na Freeman Mbowe kidemokrasia Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki?

Binafsi simuoni yoyote mwenye Uthubutu huo kwa hawa wanachama wa sasa wa Chadema

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸŒŸ
kugombea uenyekiti Taifa chadema, ati kupambana na incumbent ni kujitumbukiza matatizoni wewe mwenyewe πŸ’
 
Back
Top Bottom