Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Eti na huyo ni mbunge?yaani kuwa mwana ccm ni kuwasaliti waelewaIla aliyevuta na kutumia sana ni wa chadema.
Eti na huyo ni mbunge?yaani kuwa mwana ccm ni kuwasaliti waelewaIla aliyevuta na kutumia sana ni wa chadema.
Tembo wakiona picha ya jembe na nyundo wanaanza kuliamkulima wa jf
haaaaaaahaaa teeeeteeee ..we unaju a mie mshamba sana etiii .
sijuii yaliyofichwa
Kachukue visenti vyako sasa!Eti na huyo ni mbunge?yaani kuwa mwana ccm ni kuwasaliti waelewa
Hama hata huruma kwa viumbe wa mungu?hahaaaa mali utaipata shambani
..haulijui shair hili
Mimi nauza mazao kutoka shambani mwangu, siyo wewe unayetegemea mfuko maalum wa kusaidia wasiyo jiwezaKachukue visenti vyako sasa!
Akikabidhiwa ngosha chama chenu nyie makuwadi wa lumumba lazima mtadhoofikaKachukue visenti vyako sasa!
kaka hivi ulienda shule kweli wewe?, mahafali kwani kufanya mpaka ufaulu shule, hiyo ni kama leaving certificate tu kuashiria kwamba ulikuwa ni mwanafunzi pale na mwaka huo,Matokeo ya mwisho ya vyuo vyote vikuu bado.Hao wanafanya mahafali ya kitu gani maskini.Wengine humo wata disco,wengine watarudia mwaka.Wanafanya mahafali hewa!!!!!! Na LOWASA atawakabidhi vyeti hewa vinavyoonyesha wamemaliza wakati bado hawajamaliza vyuo.
Halafu umenichekesha ulipoandika kuwa RED brigade WAPO KUIMARISHA ULINZI.Umenikumbusha hao walinzi na miwani yao ya kuchomea magrill ya chuma
![]()
naona askari na gari la washawasha na majibwa yao wako nje wanasubiri watoke waanza kizazaa zaa
Mkuu tayari polisi wameshazingira ukumbi na magari ya washawasha ndiyo yanaranda sasaUmeme hautakatwa kweli? Au tv hazitafanyiwa figisu kweli kama kutakuwa na live show?
I mean live uptodates
Hizo huki zinazoletwa kwa kukandamiza uhuru wa demokrasia zitakuja kuwa sumu mbaya. Uvumilivu una mwisho wakehizi siasa hizi, aisee zimeleta chuki katika jamii zetu, na chuki inasababishwa na hawa watu, naona huki ndo inazidi kukua aisee, haya ngoja tuone tutafika
Sisi ndio wadau wenyewe pesa inatafutwa na tuna wekeza kwa vijana wetu wanao jitambua
Wameshaanza kuogopa hawa polisi wapo kwa ajili upinzani tuuMkuu tayari polisi wameshazingira ukumbi na magari ya washawasha ndiyo yanaranda sasa
Huko lumumba leo nimefukuzwa msalimie ChengeKachukue visenti vyako sasa!
Duu tumefika hapa kweli?Mkuu tayari polisi wameshazingira ukumbi na magari ya washawasha ndiyo yanaranda sasa
Ndiyo hali halisi mkuu, naona hili litakuwa ni fundisho tosha kwa wale waliofanya uamuzi kwa kufuata uzuri wa sautiDuu tumefika hapa kweli?