Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Umeme hautakatwa kweli? Au tv hazitafanyiwa figisu kweli kama kutakuwa na live show?
I mean live uptodates
Watawala wakisikia neno lowasa wanakosa raha na mapigo ya moyo yanapanda na siku mzima kazi hazifanyiki
 
Rais wa watanzania Rais wa wengi Rais mtulivu leo lazima dunia itambue kuwa Rais yupo karimjee.....
 
Leo serikali ya maigizo a.k.a ya nyapara wa barabara lazima ijifungie kusikiliza Mh lowassa ataonge nn
Kweli kabisa naona leo clouds hawatasikilizwa bali masikio ni kwenye kumsikiliza rais wa nyoyo za watanzania
 
Lowassa ndiye mwanasiasa wa karne, na ndiye aliyeshinda urais mbingu inajua dunia inajua, kama siyo tume leo wanzania wangelikuwa wanafaidi matunda ya nchi yao, sukari isingekuwa ishu, ajira zingekuwa za kumwaga. Lowassa ni mtu aliyechoka na umasikini. Washukuruni tume
Ujumbe umefika na waliko huko wamejificha
 
Wamemshusha mzee wa watu hadi basi kuna siku tutasikia ni mgeni rasmi kwenye mahafali ya watoto wa nursery school
yaaaan chadema wakishika nchi hatari sana kwa aman wanalazimisha wanachotaka wao
.wote tuamini ni nyeupe wakati ni nyeusi
 
MC atakapokuwa anamkaribisha Lowasa KUKABIDHI VYETI aseme

"SASA TUNAKUKARIBISHA MHESHIMIWA LOWASA UKABIDHI VYETI HEWA VYA KUMALIZA VYUO KWA WANAVYUO WAFUATAO AMBAO BADO HAWAJAMALIZA VYUO VYAO NA MATOKEO YA MITIHANI YAO BADO" karibu sana mheshimiwa ukabidhi vyeti hewa.
Hivi wewe leo hata chai umekunywa kweli?Maana bei ya sukari ilivyopanda naamini hakuna mwana ccm kama wewe anaye weza kunywa chai
 
Kumbuka CCM ina Chipukizi...hoja yangu ni kuishiwa kisiasa kwa EL jambo ambalo hata wewe unalikubali moyoni ila unaona aibu kulitamka...
Angekua ameishiwa kisiasa msingekimbilia kuleta magari yakuwashawasha badala ya visima vya maji safi ya kunywa
 
Back
Top Bottom