Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

WanaJF

Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi.Jiji la Dar es Salaam lina pilikapilika kama kawaida huku kukiwa na hali nzuri kabisa ya hewa huku jua likiwa linawaka katika kona zote za jiji.

Katika ukumbi huu wa Karimjee tayari kumepambwa kwa mapambo ya rangi nyekundu,bluu,nyeusi na nyekundu kuashiria tukio kuu la Chama cha Chadema.

Ni katika ukumbi huu yatafanyika mahafali ya vijana wanavyuo wa Chadema wanaohitimu katika vyuo kadhaa DSM

Mgeni rasmi katika tukio hili ni Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.Tayari ukumbi umefurika idadi kubwa ya waandishi wa habari huku kukiwa na ulinzi imara wa Red Brigades.

Tuko hapa ukumbini kuwaletea kila kitakachojiri...Karibuni sana..
Makapi ya ccm yanazidi kuiteka chadema.

Hivyo vyeti alitakiwa agawa mwenyekiti au katibu mkuu Wa chama
 
Waziri mkuu mstaafu ni El!!!!! wakati mwingine inabidi nyeupe iwe nyeupe mbona upotoshaji sasa.
 
Wewe suali lako ni kama mtu anaye yangulia kuvaa viatu kabla ya kivaa nguo alafu anajiuliza mwenyewe kwanini ametangulia kuvaa viatu wakati ameshika nguo mkononi!!!!!
We utakua mkimbizi aisee hakuna mtanzania mwenye kiswahili kibovu kama hiki..
 
mahakama si akahukumuwe ili ithibitike kuwa ni kweli ni mwizi ..
.mbona nyie chadema mlizunguka nchi nzima kusema yeye ni mwizi
Kweli chai ina nafasi yake mwilini maana naona kwa kukosa kwako chai hata unacho kiandika hakijulikani, pitia ulicho kiandika uone
 
Hizi picha za mablanket machafu mnayotandika ndio update ya kinachoendelea? Nyie BAVICHA vipi?
Uwezo wako kufikiri ndo umeishia hapo ?Wewe Mungu kukunyima akili alikuwa sahihi
 
Mimi binafsi sioni maono yoyote ya kiuongozi kutoka kwa Lowasa zaidi ya kubebwa na mihemko na hasira za watu waliochoshwa na utawala huu dhalimu wa CCM.......na nadhani baadhi ya wanachadema wenye kutumia akili zao wanalielewa hilo......

NB;
Kwenye ulimwengu wa vipofu hata chongo anaonekana mfalme........
 
Kweli chai ina nafasi yake mwilini maana naona kwa kukosa kwako chai hata unacho kiandika hakijulikani, pitia ulicho kiandika uone
umepata ngap tugawane ...nimekufanya ufikirie kuwa usiishi kwa kuhogwa ili udanganye ...kuna maisha zaid ya hapo
 
Mimi binafsi sioni maono yoyote ya kiuongozi kutoka kwa Lowasa zaidi ya kubebwa na mihemko na hasira za watu waliochoshwa na utawala huu dhalimu wa CCM.......na nadhani baadhi ya wanachadema wenye kutumia akili zao wanalielewa hilo......

NB;
Kwenye ulimwengu wa vipofu hata chongo anaonekana mfalme........
Mkuu kumbe kuna kitu kinapatikana hapo ukiachilia maono bali ni meseji kuwa watu wana hasira na chama fulani
 
Back
Top Bottom