Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Matokeo ya mwisho ya vyuo vyote vikuu bado.Hao wanafanya mahafali ya kitu gani maskini.Wengine humo wata disco,wengine watarudia mwaka.Wanafanya mahafali hewa!!!!!! Na LOWASA atawakabidhi vyeti hewa vinavyoonyesha wamemaliza wakati bado hawajamaliza vyuo.

Halafu umenichekesha ulipoandika kuwa RED brigade WAPO KUIMARISHA ULINZI.Umenikumbusha hao walinzi na miwani yao ya kuchomea magrill ya chuma

Mbeya3.jpg
Ila umesahai na wengi humo watafaulu
 
bhas hayana positive impact .m.yana negative impact kwa taifa hili ....kwa kuwa hana jipya kwanza anaongea dakika tano kachoka
Taifa hili nani alikwambia kuwa ni mali ya CCM? Taifa hili ni letu sote hata wale ambao hatuna vyama, hivyo negative impact unayoiona katika maneno ya EL wengine tunaiona ni positive impact!
 
Taifa hili nani alikwambia kuwa ni mali ya CCM? Taifa hili ni letu sote hata wale ambao hatuna vyama, hivyo negative impact unayoiona katika maneno ya EL wengine tunaiona ni positive impact!
dakika tano unapata nin hata mtoto anaweza kupngea
 
Mbona unakuwa kama mwendawazimu sasa, wewe unasema mwizi na hapo hapo unasema hapelekwa mahakamani, sasa hapo mwizi ni yupi?
mahakama si akahukumuwe ili ithibitike kuwa ni kweli ni mwizi ..
.mbona nyie chadema mlizunguka nchi nzima kusema yeye ni mwizi
 
Tuko pamoja makamanda wa Chaso leo wanaweka Historia,
 
Back
Top Bottom