Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

hizi siasa hizi, aisee zimeleta chuki katika jamii zetu, na chuki inasababishwa na hawa watu, naona huki ndo inazidi kukua aisee, haya ngoja tuone tutafika
Mwisho wake ni hasira zilizopitiliza
 
Nyumbu ni nyie mnaobadilishiwa singeli kila siku!
1.List of shame Lowasa no1-Lissu
2.Ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa-Lema
3.Vibaka wanachomwa moto, Wakati kuna mwizi anazunguka na fomu za kugombea urais-Mbowe
4.Atakayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili.-Msigwa
5.Nina ushahidi kamili wa Richmond-Kubenea
6.Ufisadi wa Lowasa lazima ajiuzuru-Mnyika
Na wengine weeeengi walimponda, Leo mmebadilishiwa singeli mnaimba ,Rais, Rais, sasa nani nyumbu kati ya Mimi na wewe?
lowasa anawachoma sana aisee, chaaa!!!!, haipiti dk lazima atajwe, jamani hebu fanyeni kazi zenu mumuache, mnavyozidi msema mwenzenu anawaona mazoba tu,
 
Mwisho wake ni hasira zilizopitiliza
na ndio kinachokuja mkuu, nimesoma ujumbe flani wa fb kwa mayor wa dar anavyohujumiwa nimechoka aisee, utadhani ile kazi anayofanya ni kwa tumbo lake wakati ni kwa wananchi wa dsm, aisee tunapoenda sasa sipo
 
lowasa anawachoma sana aisee, chaaa!!!!, haipiti dk lazima atajwe, jamani hebu fanyeni kazi zenu mumuache, mnavyozidi msema mwenzenu anawaona mazoba tu,
Hebu tazama vizuri hiyo orodha hapo juu, kwani Mimi ndio niliyemsema kwa maneno hayo yalioandikwa hapo juu? Umeona jina langu hapo?
 
sasa lowasa kaja vipi, wakati kama mafisadi wamejazana kwa hao unaowaona wasafi mpaka kufikia nchi kuyumba, we humuoni uncle magu anakwambia hapa ndo tulipokuwa tumefikia, hayo hayashapita sasa tugange yajayo tujenge nchi yetu tusirudi nyuma, tusahau yaliyopita, kama ni madhambi kijani wana madhambi mengi mno na sijui siku ya mwisho watamwambia nini Allah,
 
Hatuwezi kwenda mbele bila kujua juzi tu tulikuwa na misimamo gani! Otherwise ni usanii mtupu!
 
na ndio kinachokuja mkuu, nimesoma ujumbe flani wa fb kwa mayor wa dar anavyohujumiwa nimechoka aisee, utadhani ile kazi anayofanya ni kwa tumbo lake wakati ni kwa wananchi wa dsm, aisee tunapoenda sasa sipo
Yaani mh rais inabidi awe makini na hao washauri wake kama alivyo amua juu ya uchaguzi wa meya wa jiji la dsm
 
Hatuwezi kwenda mbele bila kujua juzi tu tulikuwa na misimamo gani! Otherwise ni usanii mtupu!
ukifata hayo basi hakuna atakayepona na hasa hao wa kijani ambao unawaona wasafi na lowasa ndo mchafu, mnapandisha mpaka nyara za serikali na hao ndo mnawaona wasaaafi, hii tz bana
 
Back
Top Bottom