Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

KWA kweli mwalim, a.k.a, Baba wa taifa aliona mbali ,niseme ukweli Taifa limegawanyika, hii nimeona katika week hizi mbili,hasa kipindi hichi ambapo corona inasonga,kupitia vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii,anzia tweet ya Jpm ya msiba wa RIP mh seif nyongo sio za nchi hii,
Waheshimiwa watz na viongozi wa tz hii, Ni mda wa kutafuta suruhu,Wana wa mungu Hali hii sio sawa ,tutaelekea kutozikana ,asema bwana,na amani juu yenu wote
Kumbe wewe hujatembelea hata twit za viongozi wengine huko duniani?

Bavicha kukoment upuuuzi kwenye twit ya Jpm na mitandao mingine haifanyi taifa kuwa limegawanyika, maana hao wote tunawajua ni pinga pinga.
 
Acha ujinga! Goti tunalipigwa na tutaendelea kulipiga kwa jina moja tu lipitalo majina yote ikiwa ni pamoja na corona yako! Jina hili pekee ni Yesu Kristo, hakuna jina jingine!
Magufuli na Tanzania, tumemchagua Mungu aliyehai kumpigia magoti, kamwe siyo corona!
Mungu tunaomba uturehemu sisi watanzania! Mungu tunaomba utuponye magonjwa yote! Mungu tunaomba uiponye nchi yetu Tanzania, amen! Mungu tunaomba uzidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu tunaomba uzidi kuilinda nchi yetu Tanzania, amen!
Ulimchagua wewe na nani! Hebu jisemee wewe usijumuishe na wengine! Halafu acha kuhubiri amani huku umeficha upanga haki gani na kwa kipi mlitendea watanzania hapabure kabisa ! Nkt
images%20(13).jpg
 
Sikubaliani na Mnyika katika hili. Kwenye hotuba yake leo raisi amewataka watu waendelee kuchukua tahadhari na kufanya maombi. Sasa Mnyika unasemaje kwamba raisi bado unakataa uwepo wa corona nchini?
Hizo tahadhari amezitoa kwa sababu gani? Hayo maombi anayoomba watu wafanye ni ya nini?
Hivi nyinyi mkoje? kama hauna cha kupinga si ukae kimya. Ya ndani ya chama chako mwenyewe yamekushinda, utayaweza ya taifa?
 
ndio mana kuna rais wa kenya alisema tofauti yake na rais wa TZ ni kua yeye anaongoza WATU na rais wa TZ anaongoza ng'ombe..... ile kauli inajidhihirisha sasa.
Kwa hyo Rais wa Kenya akisema kitu ndio lazima kiwe Cha kweli
Chiz kweli wewe
Kwa vile tu Alice bgea amegojea Kenya wewe kwako bjrudani
Unakubali kutukanwa unaweka meno nje
 
Kwa hyo Rais wa Kenya akisema kitu ndio lazima kiwe Cha kweli
Chiz kweli wewe
Kwa vile tu Alice bgea amegojea Kenya wewe kwako bjrudani
Unakubali kutukanwa unaweka meno nje
jaa povu lakini ukweli utabaki palepale
 
Rais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.

Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.

Inasikitisha sana.
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Hivi huwa mnaandika akili kaishika nani?

Mbona mnyika kasamalaizi kila kitu kuhusu hatua ya kuchukua au wewe huwa unasomaje kuanzia kati na kwenda zigzag!
 
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?
Hakuna Covid Tanzani, ndiyo maana hatuvai barakoa nakuhakishia hata naenda kushika baliozi wa China mkono tukale chakula by JPM Chato
 
Back
Top Bottom