Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Mimi na weye nani msukule? Mwalimu aliona madudu ya Maintarahamwe tangu 1995 lakini weye miaka 20 baadaye bado tu unakimbiza mwenge na kuimba CCM ni nambari one!!! Jitambue ili uachane na fikra potofu za kuwasaliti Watanzania wenzio.

Nyie Chadema wakati mnawaomba wananchi kuwachangia 500/ ,1000/ au kiasi chochote kwa lugha ya kiungwana na unyenyekevu ili mujenge uwezo kwa wagombe wenu ambao sio matajiri waweze kushiriki uchaguzi pasipo kudai fadhila kwa kutumia fedha zao "Sisi" nasi tuna njia zetu.
"Siye" tunawaandikia barua wananchi na wafanyabiasha tukiwataka wachangie chama na tunaweka kiasi. Hapa ni Shs 100,000/ na kuendelea na mchangiaji huna haja ya kufahamu zinashughuli gani zaidi ya kukuambia ni kwa ajili ya ushindi tuu.
ImageUploadedByJamiiForums1414817012.517293.jpg
 
Kwani hapo kuna kuuza na kununua ? Bidhaa gani uliyouza hapo au uliyonunua ?.....Hapo ni kuchangia sio kuuza au kununua.....

By the way kwa sisi tuliochangia, tumepewa risiti !. Ni electronic receipt kama ambavyo ukilipa, maji, umeme etc kwa njia ya mtandao napo unapata ......

Ukiuza dai risiti,ukinunua dai risiti.Wapi risiti?
 
Wanasema Mkuki kwa Kitimoto kwa binadamu acha kabisa.Na kunya anye kuku akunya bata kaharisha.Kweli za kuambiwa changanya na zako.

CCM wakichangisha wanachama wake ni halali,vyama vya upinzani siyo haki.

Haya tunakoelekea tutafika.

Upinzani mnawachangia akina Slaa kujegea mahekalu, mabwepande. Mbowe kununuwa majumba UK, Dubai.

Au huyajui hayo?
 
Upinzani mnawachangia akina Slaa kujegea mahekalu, mabwepande. Mbowe kununuwa majumba UK, Dubai.

Au huyajui hayo?

Ruzuku baadae, cha muhimu ni kuitoa CCM ipumzike- Prof Lipumba!
 
Huwa sipendi kujibizana na MTU kama wew maana sioni cha maana unachokisemaga zaidi ya mauzo huku..... Kwa huo ujinga sijui kama unapataga wateja kweli
Mkuu huyo alishajishushia heshima muda mrefu! Usiangaike naye!
 
Hakuna mtu analazimishwa kuchanga, wale wanaoona haifai kuchangia wanaancha !.Mimi nimechanga hela nzuri tu na nina mpango wa kuchanga kila mwezi !. Na wengine wengi nao wamechanga !. Nyie wengine fanyieni hizo hela zenu mambo ambayo mnayaona yanawafaa nyie !.

Kwa sisi wengine, sehemu ya hela zetu zitaendelea kuchangia CDM !

Upinzani mnawachangia akina Slaa kujegea mahekalu, mabwepande. Mbowe kununuwa majumba UK, Dubai.

Au huyajui hayo?
 
Bila nguvu ya umma kuleta mabadiiko eti tulitegemee bunge hatutaweza kuondoa umasikini
 
Wanasema Mkuki kwa Kitimoto kwa binadamu acha kabisa.Na kunya anye kuku akunya bata kaharisha.Kweli za kuambiwa changanya na zako.

CCM wakichangisha wanachama wake ni halali,vyama vya upinzani siyo haki.

Haya tunakoelekea tutafika.

....Tena wabwia unga na punda ndo wanaochangisha michango kwa magamba !!!
 
Mnawachanganya wenzenu....
KWANI CDM HAIHUSIKI KWENYE UKAWA????
nilidhani itakuwa harambee ya UKAWA!!!!
jumlisha na hati chafu.... jibu mnalo wachangiaji

Unapoteza muda bure kwa hivi vijisiasa vyako uchwara,wazalendo tayari tumeshachangia na tunaendelea kuwahamasisha wapenda mabadiliko na wenye uchungu na nchi yetu iliyonajisiwa na haya magamba kwa miaka zaidi ya 53 sasa wachangie.utapata presha na wazimu bure ukisikia hadi sasa tumeshachangia ngapi! Cdm ni nouma
 
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka

na gharama anazotumia kikwete kwenda ughaibuni na misafara yake ni ujenzi wa madarasa ma ngapi na maabara ngapi?
 
Bila nguvu ya umma kuleta mabadiiko eti tulitegemee bunge hatutaweza kuondoa umasikini
 
Upinzani mnawachangia akina Slaa kujegea mahekalu, mabwepande. Mbowe kununuwa majumba UK, Dubai.

Au huyajui hayo?

Umeshachelewa,CDM IPO NDANI YA MIOYO YA WATZ! Tumeshachanga na sababu kubwa ni kuwajengea uwezo watoto wa maskini waweze kushiriki uchaguzi na kuwa viongozi. Nyie endeleeni na kuwarithisha uongozi watoto wa mafisadi na kununua uongozi kwa pesa mlizotuibia wakati sisi tunawachangia maskini wenzetu wenye nia thabiti na karama za uongozi ili watuongoze kuelekea nchi ya ahadi.VIVA CDM
 
Ukiuza dai risiti,ukinunua dai risiti.Wapi risiti?

Kaulize rist za kinana anazolipia mafuso ya kusomba watu kwenye mikutano,rist ya tenda za wali ili kuvutia waskilizaji,rist za manunuzi ya tshirt,kanga na kofia na zile hongo mnazowapa ili wahudhurie mikutano ndo urudi hapa!
 
Back
Top Bottom