Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,746
Mkoloni,G solo,mapacha watakuwepo,kina fid q,nature,nk mko wapi
vijana wepi wa kihuni mkuu?Kwenye huo mkutano , watu maarufu kama wazee, viongozi wastaafu wa serikali wapo kweli? Naona vijana wa kihuni tu
Mkuu inamaana hauoni chochote zaidi ya wake za watu !!!?.
Wahuni akina sugu, et al wamepewa nafasi kutoa lugha za kihuni mbele ya kadamnasi, mbele ya watz. Ndio mana wengi wanaita chama hiki cha wasanii na waganga njaa. Kundi la walioshindwa..
Mkoloni,G solo,mapacha watakuwepo,kina fid q,nature,nk mko wapi
mkuu katiba mpya ipi? Hakuna katiba mpya hapa tanzania!Mbowe anadhani watanzania wote ni wajinga kama misukule wa CHADEMA.
tutaipigia kura katiba mpya na hakuna NYANI yeyote kutoka UKAWA mwenye uwezo wa kuzuia hilo.
Huyu jamaa mjinga sana.