MAN FROM PAWAGA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 248
- 23
Hahaaaaaa,,,Ngaliba Dume umenichekesha sana,,,,,,,,Mpaka UMEMTJA nilikuwa simjui kwa kuwa umekuwa Bango kumtangaza ngoja nimfuatilie huyo Wasira.
huyu jamaa keshatoka lupango?Wanasema Mkuki kwa Kitimoto kwa binadamu acha kabisa.Na kunya anye kuku akunya bata kaharisha.Kweli za kuambiwa changanya na zako.
CCM wakichangisha wanachama wake ni halali,vyama vya upinzani siyo haki.
Haya tunakoelekea tutafika.
Muwashauri hizo fedha wazipeleke kwenye madawati
Hahaaaaaa,,,Ngaliba Dume umenichekesha sana,,,,,,,,Mpaka UMEMTJA nilikuwa simjui kwa kuwa umekuwa Bango kumtangaza ngoja nimfuatilie huyo Wasira.
acha kujifariji hata mrema alisukumwa na gari jangwani alipata nini!
:hail:Mimi ni CCM ila nimerusha buku huko, na nimejihakikishia kurusha buku kila siku Mungu anaponibariki katika mizunguko yangu. Sishabikii Vyama bali nashabikia watu wenye nia ya dhati kuondoa ubaguzi wa kipato uliopo nchini kwa sasa..
Mbowe tatizo lake ni elimu ndogo na ulevi wa kupindukia.
Lizaboni, Mingoi, Ghosryder, laki si pesa, lusungo, Ruttashobolwa...Naona namba inaongezeka au ni shift mpya...! Karibuni T2015CCM, Mandla Jr...., ongezeni juhudi, jahazi lazama. Yuko wapi Mkirindi?
chadema nimeamini mme dhamuria kuichukuwa nch!!!
Sasa kazi inahia mitaani...Kinana nasikia pressure imepanda..
Ukishakuwa msukule huwezi kuona upungufu wa bwana
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini,
je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka