Vinakufa tu mara baada ya uchaguzi no chagadema.
Hotuba ya mbowe inaonyesha kuwa hana elimu..hakuna tangible issues
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka
Kuna wadada wanakata mauno bila sababu. Nadhani wanamtamanisha mwenyekiti wao
Tupewe Mrejesho kwanza wa harambee zilizopita!
Tupewe Mrejesho kwanza wa harambee zilizopita!
Hatawewe ikitaka anakupeleka, wemama naona unawivusanaNasikia Mbowe ana maono ndio maana Mbowe alikwenda Dubai na yule Dada!
Utapeli wa CHADEMA sasa umefikia pabaya...
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote ila nimejikuta nanogewa na program ya leo ya uchangiaji,swali langu ni je huu mchango na program kwa ujumla ni ya CHADEMA AU UKAWA.nauliza kwa sababu kwenye hotuba inatajwa UKAWA lakini Nembo iliyoonyeshwa kwenye runinga ni ya CHADEMA.Je hii haiwezi kuwafanya CUF na NLD kuona wamemezwa na CHADEMA?.Nauliza kwa nia njema msinitukane tafadhali maana humu uchelewi kurushiwa makonde.
Anajichanganya kwa kusema waasisi wametoka kona zote za Tanzania na hivyo si chama cha kaskazini? Mbona hajatuambia kwa nini wenyeviti wote ni wachagga?
Zimechangwa shilingi ngapi mpaka sasa?
Gharama inayotumika kurusha matangazo ya chadema itv na vyombo vingine vya habari kwa saa moja ni sawa na kununa madawa ktk hospitali za rufaa na wilaya kote nchini. Ni sawa na kujenga shule 20 za sekondari kusomesha yatima na maskini nchini, je chadema haina uchungu kwa watz wanaokosa elimu kwa kukosa shule? Wanaokufa kwa kukosa madawa? Kweli hii ni timu madaraka
Ulitaka awepo wasirra na mama yako?