Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Aisee ccm wanashangaa cdm haitakufa bali wanajipanga kukutano nayo chaguz zijazo
 
Mwalimu nyerere alisema ,kiongozi akisema jambo ata sura yake ituhakikishie inamaanisha. Mi Naona sura ya freeman mbowe na wenzake zinamaanisha zinachokisema. Kwa ccm Ni ya magufuli tu ndo naeza iamini.
 
...nambari waniiiiiiiii

ccm-chid.jpg

Wanasema Mkuki kwa Kitimoto kwa binadamu acha kabisa.Na kunya anye kuku akunya bata kaharisha.Kweli za kuambiwa changanya na zako.

CCM wakichangisha wanachama wake ni halali,vyama vya upinzani siyo haki.

Haya tunakoelekea tutafika.
 
kikwete ziarani msumbiji kesho kuhudhuria kuapishwa rais mpya kisha ataunganisha Zambia Kwa mazishi.
 
BI30PT531 Imethibitishwa. Tsh1,000 imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED kwenye akaunti namba M4C..............tarehe 31/10/14 saa 11:11 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh...........
 
Leo sijamtoa out mamito wangu ili kiasi ambacho ningetumia kula mbuzi japo nichangie M4C.Sio mbaya 50000 yatosha.
 
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote ila nimejikuta nanogewa na program ya leo ya uchangiaji,swali langu ni je huu mchango na program kwa ujumla ni ya CHADEMA AU UKAWA.nauliza kwa sababu kwenye hotuba inatajwa UKAWA lakini Nembo iliyoonyeshwa kwenye runinga ni ya CHADEMA.Je hii haiwezi kuwafanya CUF na NLD kuona wamemezwa na CHADEMA?.Nauliza kwa nia njema msinitukane tafadhali maana humu uchelewi kurushiwa makonde.
 
We kweli...inamaana huijui hiyo Picha?
Hata basi karibuni tunywe chai na baadaye Juice
Hapa pembeni yangu nimekuja na vitumbua kwenye HUU mfuko ila simgawii mtu,,,kwani mlikuwa hamjui kama huku tulsi kubwa tunakuja kupata CHAI?nahisi ni maneno ya huyo anaye koroga Chai.
 
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote ila nimejikuta nanogewa na program ya leo ya uchangiaji,swali langu ni je huu mchango na program kwa ujumla ni ya CHADEMA AU UKAWA.nauliza kwa sababu kwenye hotuba inatajwa UKAWA lakini Nembo iliyoonyeshwa kwenye runinga ni ya CHADEMA.Je hii haiwezi kuwafanya CUF na NLD kuona wamemezwa na CHADEMA?.Nauliza kwa nia njema msinitukane tafadhali maana humu uchelewi kurushiwa makonde.

ni kwaajili ya chadema but wamewaasa na vyama vingine vilivyo ndani ya ukawa waanzishe
 
Mkuu tusiwe kama wao,, tuwe tofauti sisi,,, kwani hata mimi ------ naiunga mkono CDM na ukawa... Tusiiishi wanavyoishi... Adui wetu no 1 ni CCM tupambane atoke!!!

Unajua hawa wanapenda kutoa kashfa sana ndiyo maana nikamuuliza hivyo.
 
Mimi ni CCM ila nimerusha buku huko, na nimejihakikishia kurusha buku kila siku Mungu anaponibariki katika mizunguko yangu. Sishabikii Vyama bali nashabikia watu wenye nia ya dhati kuondoa ubaguzi wa kipato uliopo nchini kwa sasa..
 
Back
Top Bottom