Mpaka sasa hivi chama kinakufikia hapo ulipo namikutano juu je kinaendeshwa na kudra za Mwenyezi Mungu?
Chadema Kwanza
.... Mkuu Sina Ugomvi Na Michango, Ila Tujuzwe Tu Zimepatikana Shiling Ngapi Na Zimetumikaji Basi.! Hii Ni Taasisi Bana.

Unataka kujua mapato pekeyake au mapato na matumizi?....nadhani hiyo kitu ndo ilimletea songombingo ZZK mpaka akatengenezewa zengwe la usaliti
Nyumba ya kiongoz wetu DUBAI umefikir alijengea nini? wewe acha kuuliza uliza watakuchacha
..... Makamanda..! Vip Ule Mkakati Uliozinduliwa Pale Serena Wa Kuchangia Chama Chetu Kwa Njia Ya Simu Umefikia Wapi? Naomba Kujuzwa Tumeshapata Shiling Ngapi.
Tupewe Mrejesho kwanza wa harambee zilizopita!