Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Aliyekwambia kuwa vyama vinavyounda ukawa vimekufa nani? Mtaendelea kuonekana vilaza hadi lini ninyi maccm? Mwambieni nepi awarudishie akili zenu

Akiwarudishia akili atawatumiaje tena? Hao hapo walipo ni kama madebe matupu vichwani mwao.
 
ImageUploadedByJamiiForums1414778998.956497.jpg makamanda ndio washawasili kazi inaanza soon
 
Mnawachanganya wenzenu....
KWANI CDM HAIHUSIKI KWENYE UKAWA????
nilidhani itakuwa harambee ya UKAWA!!!!
jumlisha na hati chafu.... jibu mnalo wachangiaji
 
Hivi umeme unavyokatika kila siku maeneo tofauti ya Tanzania ni kuhujumu Chadema, mimi nipo Karatu umeme upo na ninasubiri kuangalia harambee ya Chadema.

Kwa hiyo kipindi kitarushwa toka Karatu?
 
Harambee hii usikute mnachangia matibabu ya baba yake Joyce Mukya India.
 
ITV mimi nipo hapa ukumbini lakini nimepokea taarifa matangazo hayana sauti fanyeni juu chini watanzania wasikie kinachoendelea!
 
Kumbe ni uzinduzi wa Programu mpya ya CHADEMA.

Kweli CHADEMA ni matapeli SUGU.

- Kila siku zinazinduliwa programu mpya na zile za awali hazijajulikana zimesaidia nini.
 
Back
Top Bottom