Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Harambee hii usikute mnachangia matibabu ya baba yake Joyce Mukya India.

Akili zako sawa na kuku.CDM TUNASONGA MBELE NA MAKAMANDA TAYARI TUSHACHANGA! CDM SAWA NA OKSIJEN,UTAITAKA TU!
 
..kwa taarifa yako hakuna chama kilichopata hati safi.

..kuna kimoja hakijawasilisha mahesabu yake.

Kutopata hati safi kwa vyama vyote hakuondoi makosa kwa chadem....

Muda mrefu hela za chadema zinaliwa na familia za wachaga huko bila kunufaisha wananchi wote...
 
Akili zako sawa na kuku.CDM TUNASONGA MBELE NA MAKAMANDA TAYARI TUSHACHANGA! CDM SAWA NA OKSIJEN,UTAITAKA TU!

Hata mia nitachangia kama sina hela kubw kwa jinsi nilivyo na mapenzi ya dhati ma cdm
 
Asante sana kwa wazo hili maana name nilikuwa najiuliza jinsi ya kuchangia.
 
... Makamanda, Vp Jana Zilipatikana Milion Ngapi??

Kama wakitangaza pungufu ya milion 500 basi ujue tayari mbowe na lema wameshapiga mpunga wa kufa mtu. Hapa tu jf kulikojaa majobless kuna watu walikua wana-comment kuwa wamechanga laki 3.
 
Inawezekana hiyo harambee imeandaliwa na Mengi. Si unajua tena wachaga wameamua kuungana kutengeneza kiota chao!!! Wakuwasikitikia ni wale wenzangu na mie wasiojitambua na kuamua kuijenga empire ya kazkazini wakati kwao kusini. Yani ni sheedah...

Wakati mwingine nachelea kuamini kuwa hawa ndugu zetu wa kutoka kaskazini yaani wakina MANGI wana ukabila fulani kama wakikuyu wa Kenya vile na hili limenisononesha sana pale lilipofanywa na watu ambao ni wasomi wa wakiwa wanahisa wa AKIBA COMMERCIAL BANK!!! Mimi ni mwanahisa wa hii benki na huko nyuma ilikubalika kuwa mwenyekiti wa hiyo benki atatokana na wawakilishi wa wanahisa wadogo wazalendo katika bodi; sasa cha kushangaza ni kwamba safairi hii tumewachagua wawakilishi wawili ambao sio wachaga na matokeo yake ni kwamba mkurugenzi mchaga ambae ni mzalendo lakini anawakilisha corporate shareholders ameweza kuwashawishi wanahisa wazungu wakubali kuwa utaratibu sio kuwa mwenyekiti atokane na wawakilishi wa wanahisa wadogo bali wanahisa wote wazawa kitu ambacho kilimuhalalisha yeye kupewa huo uenyekiti na hao wazungu wanaoshirikiana nae kuihujumu hiyo benki; ukweli ni kwamba nyuma ya pazia, mbinu hii ilitumika ili kuhakikisha kuwa MCHAGGA ndio anakuwa mwenyekiti wa hii benki na sio vinginevyo!!! Ukabila wa namna hii lazima tuupige vita kama tunavyowapiga vita magamba!!
 
Kutopata hati safi kwa vyama vyote hakuondoi makosa kwa chadem....

Muda mrefu hela za chadema zinaliwa na familia za wachaga huko bila kunufaisha wananchi wote...

Kwanini nawewe usiolewe na mchaga ili uweze kuzila?
 
- Kwanini tuchangishwe wakati Chama kinapewa ruzuku na serikali?
- Tokana na ripoti ya CAG, mahesabu ya Chadema yanatiliwa shaka. Tutawaamini vipi kuwapa pesa zetu nyingine?
- Kulikuwa na michango kama hii huko nyuma, tunaomba kupewa marejesho kabla ya kuanza kuchangishwa tena.

Chama chakavu mbona wamegoma kukaguliwa kisa wao ndo wanaongoza dola,
 
Wakati mwingine nachelea kuamini kuwa hawa ndugu zetu wa kutoka kaskazini yaani wakina MANGI wana ukabila fulani kama wakikuyu wa Kenya vile na hili limenisononesha sana pale lilipofanywa na watu ambao ni wasomi wa wakiwa wanahisa wa AKIBA COMMERCIAL BANK!!! Mimi ni mwanahisa wa hii benki na huko nyuma ilikubalika kuwa mwenyekiti wa hiyo benki atatokana na wawakilishi wa wanahisa wadogo wazalendo katika bodi; sasa cha kushangaza ni kwamba safairi hii tumewachagua wawakilishi wawili ambao sio wachaga na matokeo yake ni kwamba mkurugenzi mchaga ambae ni mzalendo lakini anawakilisha corporate shareholders ameweza kuwashawishi wanahisa wazungu wakubali kuwa utaratibu sio kuwa mwenyekiti atokane na wawakilishi wa wanahisa wadogo bali wanahisa wote wazawa kitu ambacho kilimuhalalisha yeye kupewa huo uenyekiti na hao wazungu wanaoshirikiana nae kuihujumu hiyo benki; ukweli ni kwamba nyuma ya pazia, mbinu hii ilitumika ili kuhakikisha kuwa MCHAGGA ndio anakuwa mwenyekiti wa hii benki na sio vinginevyo!!! Ukabila wa namna hii lazima tuupige vita kama tunavyowapiga vita magamba!!

Hoja yako imefutwa nakutezwa na hayo maandishi yako mekundu. Aliwashawishi wazungu wala sio wachaga.... wewe

ulishindwa kuwashawishi wazungu lawama kwa wachaga zinaenda vipi?
 
Kutopata hati safi kwa vyama vyote hakuondoi makosa kwa chadem....

Muda mrefu hela za chadema zinaliwa na familia za wachaga huko bila kunufaisha wananchi wote...

Huoni kama ni jambo jema nawewe ukiolewa na mchaga uweze kuzila hzo hela?
 
Inawezekana hiyo harambee imeandaliwa na Mengi. Si unajua tena wachaga wameamua kuungana kutengeneza kiota chao!!! Wakuwasikitikia ni wale wenzangu na mie wasiojitambua na kuamua kuijenga empire ya kazkazini wakati kwao kusini. Yani ni sheedah...

Imeandaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje Mheshimiwa Mtukufu Dr.Dr.Dr.Dr.JK.au nimesahau Professor Dr.Dr.Dr.Dr.JK?
 
Wakati mwingine nachelea kuamini kuwa hawa ndugu zetu wa kutoka kaskazini yaani wakina MANGI wana ukabila fulani kama wakikuyu wa Kenya vile na hili limenisononesha sana pale lilipofanywa na watu ambao ni wasomi wa wakiwa wanahisa wa AKIBA COMMERCIAL BANK!!! Mimi ni mwanahisa wa hii benki na huko nyuma ilikubalika kuwa mwenyekiti wa hiyo benki atatokana na wawakilishi wa wanahisa wadogo wazalendo katika bodi; sasa cha kushangaza ni kwamba safairi hii tumewachagua wawakilishi wawili ambao sio wachaga na matokeo yake ni kwamba mkurugenzi mchaga ambae ni mzalendo lakini anawakilisha corporate shareholders ameweza kuwashawishi wanahisa wazungu wakubali kuwa utaratibu sio kuwa mwenyekiti atokane na wawakilishi wa wanahisa wadogo bali wanahisa wote wazawa kitu ambacho kilimuhalalisha yeye kupewa huo uenyekiti na hao wazungu wanaoshirikiana nae kuihujumu hiyo benki; ukweli ni kwamba nyuma ya pazia, mbinu hii ilitumika ili kuhakikisha kuwa MCHAGGA ndio anakuwa mwenyekiti wa hii benki na sio vinginevyo!!! Ukabila wa namna hii lazima tuupige vita kama tunavyowapiga vita magamba!!

Kwa ujinga ulionao naamini hawakufanya makosa ktk kukuengua kama kweli ulikua mwenyekiti hapo. Huwezi kuwaongoza watu wenye mitaji mikubwa na wanaoelewa nini maana ya biashara kwa akili kama hzo za lumumba zinazotumia matumbo na makalio kufikiri.
 
Kutopata hati safi kwa vyama vyote hakuondoi makosa kwa chadem....

Muda mrefu hela za chadema zinaliwa na familia za wachaga huko bila kunufaisha wananchi
wote...

Na za Magamba zinaliwa na Familia ya Wakwere pale Msoga? Mbaya zaidi mnampaka pesa chafu za Ma-drug lord, mnatuharibia tu vijana wetu..
 
Hoja yako imefutwa nakutezwa na hayo maandishi yako mekundu. Aliwashawishi wazungu wala sio wachaga.... wewe

ulishindwa kuwashawishi wazungu lawama kwa wachaga zinaenda vipi?

Daah...jibu zuri sana hili. Huwa sielewi kwanini baadhi ya sisi waTanzania tunawachukia watu wa kaskazini.
 
Wakati mwingine nachelea kuamini kuwa hawa ndugu zetu wa kutoka kaskazini yaani wakina MANGI wana ukabila fulani kama wakikuyu wa Kenya vile na hili limenisononesha sana pale lilipofanywa na watu ambao ni wasomi wa wakiwa wanahisa wa AKIBA COMMERCIAL BANK!!! Mimi ni mwanahisa wa hii benki na huko nyuma ilikubalika kuwa mwenyekiti wa hiyo benki atatokana na wawakilishi wa wanahisa wadogo wazalendo katika bodi; sasa cha kushangaza ni kwamba safairi hii tumewachagua wawakilishi wawili ambao sio wachaga na matokeo yake ni kwamba mkurugenzi mchaga ambae ni mzalendo lakini anawakilisha corporate shareholders ameweza kuwashawishi wanahisa wazungu wakubali kuwa utaratibu sio kuwa mwenyekiti atokane na wawakilishi wa wanahisa wadogo bali wanahisa wote wazawa kitu ambacho kilimuhalalisha yeye kupewa huo uenyekiti na hao wazungu wanaoshirikiana nae kuihujumu hiyo benki; ukweli ni kwamba nyuma ya pazia, mbinu hii ilitumika ili kuhakikisha kuwa MCHAGGA ndio anakuwa mwenyekiti wa hii benki na sio vinginevyo!!! Ukabila wa namna hii lazima tuupige vita kama tunavyowapiga vita magamba!!

Usikute huyu naye ni msomi ambaye amekaa na kusota chuo miaka 4 au 5 alafu angalieni anachoandika. Daah inasikitisha sana! Ni kheri kuishia darasa la saba kama Shyland lakini ukawa mtu mwenye hekima na busara
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom