Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Fedha zote mnazotuma zinakwenda kwenye simu ya mkononi ya LEMA.
Halafu Lema yuko kwenye kamati ya fedha na mchungaji fake Msigwa.
Fedha zote mnazotuma zinakwenda kwenye simu ya mkononi ya LEMA.
Mnatuua watz kwa wizi wenu huu
Ulitaka awepo wasirra na mama yako?Halafu Lema yuko kwenye kamati ya fedha na mchungaji fake Msigwa.
Hiki chama ni makini sana..
Wadau, imekaaje hii? Josephine Mushumbusi alipoombwa na Dr Slaa apunge mkono amegoma
Nchi ya moshi au Karatu??
Ulitaka awepo wasirra na mama yako?
ZZK akiona hafla kama hizi anaumia sana moyoni! "tragedy of miscalculations" kosa ni kuwa na bei "price tag".
Kesho ijumaa SAA 3 usiku ni kipima joto...
- Kwanini tuchangishwe wakati Chama kinapewa ruzuku na serikali?
- Tokana na ripoti ya CAG, mahesabu ya Chadema yanatiliwa shaka. Tutawaamini vipi kuwapa pesa zetu nyingine?
- Kulikuwa na michango kama hii huko nyuma, tunaomba kupewa marejesho kabla ya kuanza kuchangishwa tena.
Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,