profesa jay na sugu wanaimba sasa
Kuna wadada wanakata mauno bila sababu. Nadhani wanamtamanisha mwenyekiti wao
Umeona eeeeeh! Wanaboa sana akina Sugu.Jamaniiiiiii
Kuna wadada wanakata mauno bila sababu. Nadhani wanamtamanisha mwenyekiti wao
We kisabengo tulia..Kwakweli Prof Jay anahidhalilisha kabisa kwanza wimbo mbaya!
Umeona eeeeeh! Wanaboa sana akina Sugu.
Nasary anachat na SIMU wakati sala inaendelea, chama kina wahuni hiki!
Mkuu, mie nabaki nacheka tu. CHADEMA wanatumia ukawa kwa malengo yao. Soon akina mbatia watashtukaMkuu leo huna pa kutokea ,wewe fuatilia tu makamanda wanavyosababisha
Dr Slaa na Josephine wafungue muziki
Hiyo tour labda watashiriki wavuta bangi tuWanaboa kitu gani !!!?.
Jiandae na M4C tour Tanzania nzima.