Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

BI30PH873 Imethibitishwa. Tsh10000 imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED kwenye akaunti namba M4C tarehe 31/10/14 saa 10:58 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh..........
 
Mangi kazini, christimas imekaribia lazima kieleweke...
 
Habar wakuu?

Makamanda mliopo serena mwambieni mbowe anaruka hatua ya tatu

-*150*00#
-4 Malipo
-4 Huduma
-Ndio nne namba ya kampuni sasa

Kwakuruka hatua hiyo watu hawataweza kuchangia ni vizuri kurekebishwa.
 
Ifweero, kwa nini unategemea vyama vya Siasa vijenge shule na hospitali? Shule hazijengwi na vyama ila na serikali kwa kutumia kodi zetu wanazokusanya. CDM pamoja na vyama vingine vya Siasa (including CCM) lazima watafute namna ya kuwashawishi wananchi wawape support, ikiwa ni pamoja na ku advertise kwenye media. Wakiitumia hela ya chama kujengea shule wewe ungekuwa wa kwanza kuwalaumu viongozi wa CDM kwa kuwahonga wananchi ili wapate kura. Kwako wewe hupati usingizi bila kulaumu CDM.
 
Back
Top Bottom