Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Tumekutana hapa kupeleka kilio kwa watanzania wenzetu , kuwa Mwenyezi Mungu ametupa kila sababu ya kujibadilisha taifa hili, Mungu haiku kusudio taifa hili liwe la kulia ila ni taifa la asili na Mazoea , tunapenda kuwaomba mambo mawili makubwa , umoja wetu katika UKAWA ni umoja ambao tunaamino ni mpango wa Mungu ......Mbowe
 
Wahuni akina sugu, et al wamepewa nafasi kutoa lugha za kihuni mbele ya kadamnasi, mbele ya watz. Ndio mana wengi wanaita chama hiki cha wasanii na waganga njaa. Kundi la walioshindwa..

Pole kwa kutojitambua, kojoa ukalale, hii ngoma ni ya wakubwa, watoto wenzio washalala
 
Hotuba ya mbowe inaonyesha kuwa hana elimu..hakuna tangible issues
 
Mbowe anaomba
1. Umoja wetu katika ukawa ni mpango wa mungu
2. Ushirika wenye malengo wa kumsaidia mtanzania, na kuondoa vilio
 
Aiisee mwenyekiti anabusara sana huyu nadhani ni chaguo la mungu
 
CHADEMA hivi sasa wanajificha kwenye UKAWA baada ya kusambaratishwa naZITTO
 
Tumekutana hapa kupeleka kilio kwa watanzania wenzetu , kuwa Mwenyezi Mungu ametupa kila sababu ya kujibadilisha taifa hili, Mungu haiku kusudio taifa hili liwe la kulia ila ni taifa la asili na Mazoea , tunapenda kuwaomba mambo mawili makubwa , umoja wetu katika UKAWA ni umoja ambao tunaamino ni mpango wa Mungu ......Mbowe
Naona unakalili maneno ya mtu aliyekimbia umande
 
Tuwe wakweli,Sugu aendane na mazingira,apunguze mizuka.kama alivyo-behave Jay
 
Back
Top Bottom