Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
hahaha!! wanaboa for-sure, ila cha kufanya ni kuwacha kuangalia. mie nipo zangu chumbani nafuatilia mpambano JF. btw unamuonaje mke wa mbatia? uuh!! mrembo eeh.
twende pamoja ch ten.
hahaha!! wanaboa for-sure, ila cha kufanya ni kuwacha kuangalia. mie nipo zangu chumbani nafuatilia mpambano JF. btw unamuonaje mke wa mbatia? uuh!! mrembo eeh.
Mmemlipa tsh ngapi mtaalam wa IT Josephine
Hata Wasira na CCM pamoja na wapiga domo wake wooote walisema Chadema itakufa kabla ya uchaguzi wa 2015,sababu ya muunganiko wa vyama hivi ni ngumu sana kuvunjika kwa dhana kama hizi zako.
Sugu leo ameingia akiwa amevuta bangi na kunywa gongo
hahaha!! wanaboa for-sure, ila cha kufanya ni kuwacha kuangalia. mie nipo zangu chumbani nafuatilia mpambano JF. btw unamuonaje mke wa mbatia? uuh!! mrembo eeh.
Ulivuta nae?Sugu leo ameingia akiwa amevuta bangi na kunywa gongo
Vinakufa tu mara baada ya uchaguzi no chagadema.
Acha papara weweDada tulia unapochomwa sindano ya dawa..
Vinakufa tu mara baada ya uchaguzi no chagadema.
Sugu leo ameingia akiwa amevuta bangi na kunywa gongo
Wanaboa sana hawa jamaaw.