WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Jay wa mitulinga ndani ya kaya!
Wadau, imekaaje hii? Josephine Mushumbusi alipoombwa na Dr Slaa apunge mkono amegoma
Huu ni mkutano wa hadhara kuhusu katiba au harambee?
Muhuni wa Mbeya yuko uwanjani!
Masela ndio kitu gani?
Tunagonga kote kote ,lazima mchanganyikiwe peoplesssssssss powerrrrrrrr.