nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Inayojadiliwa hapa ni sheria sio ahadi za wana CCM. Sheria ni kitu ambacho kinalazimisha utekelezaji utake usitake utake usitake.
pole sana....
Inayojadiliwa hapa ni sheria sio ahadi za wana CCM. Sheria ni kitu ambacho kinalazimisha utekelezaji utake usitake utake usitake.
Huyu mama mpumbavu anajadili wasiokuwepo badala ya hoja ninan na wawapi?
Huyu jamaa anayeongea ni muhaya?
tayari wanapitisha. waziri anahitimisha hapa. insomile karopoka hadi basi
NDIPO Wtz mtakapo jua CCM ndiyo chanzo cha umasikini wetu.TANGU AFE NYERERE ALIYE KUWA UPANDE WAWA WATZ HIKI CHAMA KIMEWATUPA WANANCHI
tatizo la watanzania sasa hivi kila mtu anaona kila kinachosemwa na wapinzani ndo sahihi ,kwangu mimi sio sahihi,nafikiri kila mtanzania anawajibu wa kujua yapi ni yapi kwa masilai ya watanzania sio masilai ya wanasiasa ,
Nikweli kabisatatizo la watanzania sasa hivi kila mtu anaona kila kinachosemwa na wapinzani ndo sahihi ,kwangu mimi sio sahihi,nafikiri kila mtanzania anawajibu wa kujua yapi ni yapi kwa masilai ya watanzania sio masilai ya wanasiasa ,
Mbunge wangu ajaye lazima anithibitishie atakuwepo bungeni iwe jua au mvua.
Mbunge wangu ajaye lazima anithibitishie atakuwepo bungeni iwe jua au mvua.
Tangu ameanza anapiga kelele hajaongea lolote la maana.
Atakuthibitishia na hutamuona huko bungeni. Utafanyaje?
Simple logic kijana swala nyeti kama hilo una wezaje kulipitisha ndani ya siku moja...tatizo la watanzania sasa hivi kila mtu anaona kila kinachosemwa na wapinzani ndo sahihi ,kwangu mimi sio sahihi,nafikiri kila mtanzania anawajibu wa kujua yapi ni yapi kwa masilai ya watanzania sio masilai ya wanasiasa ,
Rage ana matatizo sana, tutamuonyesha October.