CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
CCM na Makinda
wabunge wa ukawa wameambiwa kupitia backchannels kuwa kiinua mgongo kitaota mbawa wakileta mchezo,imebidi wawe wapole....WHAT IS BETTER THAN MONEY?......
Simple logic kijana swala nyeti kama hilo una wezaje kulipitisha ndani ya siku moja...
Maamuzi yanayochukuliwa na upinzani huwa nayaheshimu sana, kila mara nilikuwa naona wanaleta utoto hasa baada ya kuwasikiliza ccm. Lakini baada ya muda ccm wanaumbuka, bado napima upepo lakini upinzani nawaheshimu ingawa naona kama wamekosea.
Atakuthibitishia na hutamuona huko bungeni. Utafanyaje?
Sitakua na cha kumfanya ila ndio mkataba umeisha kati yetu.
Simple logic kijana swala nyeti kama hilo una wezaje kulipitisha ndani ya siku moja...
ndio maana nakuambieni lowassa ndio jawabu
ndani ya ccm hata ukawa msomi mzuri namna gani lazima uungane na wenzako. mfumo wao wote ni wa kulindana tu. dr. asha rozi hajalisaidia taifa letu kulingana na utaalamu wake.
Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake leo jumapili. Wabunge wanaendelea kujadili miswada mitatu ya mafuta na gesi asilia kwa pamoja.
Jana na juzi wabunge mbalimbali wa upinzani, wamefukuzwa na kufungiwa kuingia bungeni kwa siku tano. Huu mjadala kwa kiasi kikubwa unajadiliwa na Wabunge wa CCM tu kwani wale wa upinzani wote wanapinga miswada hii kwa kile wanachodai hawawezi kujadili miswada yenye manufaa makubwa kwa taifa kwa hati ya dharula. Wanataka wapate muda mrefu wa kuisoma hiyo mikataba na kuielewa kuliko hivi sasa ambapo wabunge wengi hawajaisoma na kuielewa.
Mbunge Diana Chilolo ametetea udharura wa miswada kwa kusema kuwa udharura wa miswada hiyo maana yake ni kuwa miswada hiyo imepewa kipaumbele!
Rage nae anasema Spika awasamahe wapinzani kwani ni watoto tu.
My take:
Nashindwa kuamini macho na masikio yangu kutokana na hizi kauli.