Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

akiwa katibu mkuu wa FAT pamoja na mambo mengine alikwapua mipira 50 tu mali ya umma yenye nembo ya adidas , ambayo kwa wakati ule mpira mmoja ulikuwa na thamani ya tsh 2500 ! hata hivyo akitoka gerezani kwa msamaha wa rais , wala hakutoka kwa rufaa kama anavyopotosha .
aisee,kumbe jamaa ana historia hii? tena mpira mmoja tsh2500
 
Wanasiasa wote wanafiki msinge kubali kutumiwa na mengi kwenye gesi na mafuta,
 
"Ndiyoooo kinaaafikiiwaaaa....na hata na uchi wangu mkitaka ongezeeni kwenye hicho kifunguuuu....." Hayo ni maneno ya Martha Mlata akipaza sauti yake bungeni

,manywele yake ya huko yawe sehemu ya mswada
 
Sasa kama hamna maboresho ni miswada ipo poa wanajadili nini,si wapige tu kura? kuliko kuwajadili upinzani badala ya mswada
 
Nadhani hilo lingekuwa la maana sana manake lingepunguze gharama ya kuwalipa posho hao wabunge ndioooooo, Eti kila kifungu mikubwa yote na minyoya yao inaitikia kama mitoto ya awali NDIOOOOOOOO bila kusoma kifungu!!!!

Usishangae mkuu maccm yote yana PHD (Pure Head Damage)
 
Ndiyo aina ya viongozi tulionao kwa hawa jamaa wa kijani hata uwe umesoma vpi ukijiunga nao akili yko inabadilika unakuwa chizi kama wao mf ni prof muhongo.
 
hivi hawa wanaosema muswada umepewa kipaumbele na office ya speaker kuna ugumu gani wa kuainisha hata faida kumi tu za kupitisha hiyo miswada kwa dharula.... faida ambazo hata Mtanzania wa kawaida akizisikia ataona kwakweli hiyo miswada isipopita tutapata shida... achilia mbali kuchambua vifungu vya sheria ambavyo vina utaalamu na uzoefu wake.... lakini hivi wanavyolazimisha miswada ipite nyuma ya pazia.... kwakweli CCM inazua maswali mengi kuliko majibu
 
Huu ni ubabe wa CCM. Hatukupaswa kufanya mambo ya maana kama hayo kwa figisu figisu hizo.
 
Back
Top Bottom