respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Kuna mwanaukawa yeyote aliyeko hapo Bungeni?
BACK TANGANYIKA
BACK TANGANYIKA
Wabunge wetu wa CCM hovyo sana, watu badala ya kujadiri mswada wanajadili matumizi ya fedha za gas.
Naona wabunge kama 30 hivi, ila camera inaelekezwa kwa spika na mzungumzaji tu. Star TV out
Hawa wabunge wa CCM ukiwaangali na kuwasikiliza utagundua hata nafsi zao zinawasuta.