Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

Tbc wanatuonyesha kiini kacho leo kamera zao hazionyeshi bunge zima zaidi ya kuonyesha mchangiaji na kiti cha spika tumepigwa changa la macho tusubiri maumivu
 
Hata mi nmekuwa nashangaa kuna nini leo...kamera zao zina matatizo au?
 
Niko naangalia Bunge inasikitisha sana ndugu zangu, TBC wanaonyesha mtu anaeongea na Spika tu, saiv wamekaa kama kamati kupitisha vifungu ni aibu kwani zile sauti za ndiyooooooooo hazisikiki ina maana wamo magamba wangapi humo Bungeni? Je sheria zinasemaje kuhusu idadi ya wabunge wanaotakiwa kupitisha mswada?
 
Kifungu cha sitini kinaafikiwa aa
Ndioooo
Ndiooo ndiooo
Ndiooo
Mbona raha leo dodoma....
 
Wapitishe hamna haja ya majadiliano ya kipuuzi yanayoendelea.. Yani hilo bunge bila ukawa linageukaga genge la mipasho na kuunga mkono hoja
 
Ndiiooo ndiooo
Hadi ndioooo
Wanaolala ndiooo
 
spika anawaambia wabunge wa ccm wasisinzie,muswada wapita ndani ya dk 20
 
Mtutura anauliza kijiswali chepesii! Ila walishapitisha vifungu 100 bila mbunge yeyote kuhoji kitu!
Ndiyooo!! Nadhani hata wakilala usiku wanaota wakisema ndiyooo!
 
Kifungu hiki pamoja na MAKOSA yake, kinaafikiwaaa...

"Ndiyooooooooo.... "
 
Hili bunge bure kabisa......yaani mijitu inaitikia tu
 
Wasikilize saivi wanapitisha vifungu… kila kifungu wanaitikia Ndiooooo!! Hawaelewi warekebishe wapi,ambapo hapajakaa vzr, kazi ipo!
 
Wabunge wetu wanapitisha vifungu ili wamalize wakale, that is, wananjaa na wamechoka. Sidhani kama vifungu 200 vinapitishwa zaidi ya nusu saa, ni ndiyooo tu na sielewi kama wamevisoma vifungu hivyo. Wasomi wa vifungu kwenye mistari wakina Lissu na Mnyika wapo nje. Hata spika atakuwa moyoni anaumia kwa utungaji huu wa sheria wa kila kitu ndiyoooo
 
Ukiona bunge la leo utatapika. Ni kichefuchefu tupu. Wabunge wanaongea kama watoto wa darasa la pili. Hakuna hoja!
 
kuna wabunge kazi yao ni ndiooo sioni mbunge yeyote anae soma wana piga story tuuuu
 
Back
Top Bottom